Jamaa yangu amedhurumiwa kwenye upatu, kwanini watu hawajifunzi?

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Kuna Rafiki Yangu aliniambia Kuna kucheza Mchezo, aliponiambia tu huo mchezo wa Pesa nilichemka mi sina Pesa ya Mchezo.

Sasa leo Simu ya kwanza kupokea ya kweke Tayari Wamezurumiana.

Jaama apokei Simu na Yeye ndo anasema Ni mtu wa 7, ametumiwa 1,000,000/= Bado 6,000,000/=
Mchezeshaji apokei Simu Pesa ilitakiwa apewe Tarehe 1,mpaka leo anazungushwa Tu.

Mbona Watu hatujifunzi Upatu Ni Risk na Ktk Risk za makusudi Ni Upatu.
 
Kwakweli, nilifanya zama hizo za ujinga, nikatapeliwa, nikajifuza.
 
Kuna Mwaka walikua wanapanda Mama YANGU alinieleza kuhusu Hilo Jambo Ila nilikataa kata kata.
 
Na huyo jamaa yako ndio wewe.

POLE SANA.

PambanaZaidi/CottonandMore
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Umenikumbusha jamaa yangu mwaka jana walienda na m5 yake
 
Kuna Rafiki Yangu aliniambia Kuna kucheza Mchezo, aliponiambia tu huo mchezo wa Pesa nilichemka mi sina Pesa ya Mchezo.

Sasa leo Simu ya kwanza kupokea ya kweke Tayari Wamezurumiana.

Jaama apokei Simu na Yeye ndo anasema Ni mtu wa 7, ametumiwa 1,000,000/= Bado 6,000,000/=
Mchezeshaji apokei Simu Pesa ilitakiwa apewe Tarehe 1,mpaka leo anazungushwa Tu.

Mbona Watu hatujifunzi Upatu Ni Risk na Ktk Risk za makusudi Ni Upatu.
Kwa Tz ni hatari kwani ni jamii ya wezi tangu serikali mpaka mtu binafsi. Ila kuna watu wanacheza hiyo miaka nenda rudi, hawajawahi kuonana wala kujuana, na hakuna anayedhulumiwa wala kucheleweshewa mgao wake, nimeshuhudia ughaibuni.
 
Kuna Rafiki Yangu aliniambia Kuna kucheza Mchezo, aliponiambia tu huo mchezo wa Pesa nilichemka mi sina Pesa ya Mchezo.

Sasa leo Simu ya kwanza kupokea ya kweke Tayari Wamezurumiana.

Jaama apokei Simu na Yeye ndo anasema Ni mtu wa 7, ametumiwa 1,000,000/= Bado 6,000,000/=
Mchezeshaji apokei Simu Pesa ilitakiwa apewe Tarehe 1,mpaka leo anazungushwa Tu.

Mbona Watu hatujifunzi Upatu Ni Risk na Ktk Risk za makusudi Ni Upatu.
Pesa ya mchezo maana yake hiyo pesa Haina matumizi kwa kifupi hiyo ni pesa ya kuchezea,,,,ukitapeliwa Kaa kmya.
 
Kuna Rafiki Yangu aliniambia Kuna kucheza Mchezo, aliponiambia tu huo mchezo wa Pesa nilichemka mi sina Pesa ya Mchezo.

Sasa leo Simu ya kwanza kupokea ya kweke Tayari Wamezurumiana.

Jaama apokei Simu na Yeye ndo anasema Ni mtu wa 7, ametumiwa 1,000,000/= Bado 6,000,000/=
Mchezeshaji apokei Simu Pesa ilitakiwa apewe Tarehe 1,mpaka leo anazungushwa Tu.

Mbona Watu hatujifunzi Upatu Ni Risk na Ktk Risk za makusudi Ni Upatu.
miaka 2008 mimi walinidhurumu sekondari class kwetu elfu 3000 yangu tulikuwa tunacheza tsh. 200 kila siku anatoka mtu tupo 15..hapo mimi nilikuwa sijui wa ngapi nimeshahau ila from there sijawahi kuamini mtu kwenye swala la pesa tena..
 
Back
Top Bottom