show me the way
Member
- Dec 10, 2020
- 52
- 112
huko nje vipato ni uhakika mana kila mtu ni mfanya kazi na pesa inapatikana na ya akiba haya maisha yetu tunalazimishana sana hivi vitu ila kiukweli kwa mazingira yetu bado saana labda kama wote muwe wafanyakazi wa serikali au kampuni inayoeleweka.Kwa Tz ni hatari kwani ni jamii ya wezi tangu serikali mpaka mtu binafsi. Ila kuna watu wanacheza hiyo miaka nenda rudi, hawajawahi kuonana wala kujuana, na hakuna anayedhulumiwa wala kucheleweshewa mgao wake, nimeshuhudia ughaibuni.