Jamaa yangu anachomokaje kifungo cha miaka 10 hapa?

Jamaa yangu anachomokaje kifungo cha miaka 10 hapa?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
20231031_122707.jpg

Amemgonga huyu ndege bwana afya na bodaboda mpaka kifo mbele ya mashahidi lukuki.
Wanasheria wa mtaani wanadai ana kesi nzito sana hapa ya kujibu.
Kwa kuanza tu ametoroka mjini ameenda kujificha.
 
Hiyo mindege nilikuwa napenda sana kuirushia mawe na kutamani kuipiga mashuti kila nikiwaona enzi hizo kipindi mdogo huko Kaskazini mwa TZ

Sikujua kumbe ni msala hivi
View attachment 2799117
Amemgonga huyu ndege bwana afya na bodaboda mpaka kifo mbele ya mashahidi lukuki.
Wanasheria wa mtaani wanadai ana kesi nzito sana hapa ya kujibu.
Kwa kuanza tu ametoroka mjini ameenda kujificha.
 
Ana haki ya kukimbia mji,hakuna watu wanajua kujambisha na kutia chumvi uone umebeba dunia kichwani kama wanasheria wa mtaani hao sheria zote wanajua hadi za toronto marikani huko hao kukwambia aaaaaah kwa kesi hii umepona sana miaka 75 na hapo unapewa na mfano utasikia jamani ,Muddy si mnajua nae alifanya kama hivi akafungwa miaka 43.5 sasa hapo kuna kukaa? Acha mwana achimbe mbele
 
Mwambie asijitokeze hivi karibuni mijitu mingine ina roho mbaya tu.
eti aende jela kisa nini
 
hiyo ni trafickcase je ana leseniambayo ni valid? Je ana bima ambayo ni valid? Arudi aende police apelekwe mahakamani...akiweza aje pm..kaka mkubwa nisimamie show...kama upepo
 
Back
Top Bottom