MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
View attachment 2799117
Amemgonga huyu ndege bwana afya na bodaboda mpaka kifo mbele ya mashahidi lukuki.
Wanasheria wa mtaani wanadai ana kesi nzito sana hapa ya kujibu.
Kwa kuanza tu ametoroka mjini ameenda kujificha.
Wanasema huyo ni bwana afya, anasafisha kila kituhilo ndege linaitwa ndege john
yanapenda majalala sana na sehemu za samaki au machinjio ya kuku yajiokote mautumbo hovyo sana hayo,halifai hata kula
ni kweli ila shida likija kufanya makazi kwenye eneo lako yanakunya sana na kuchafua mazingira tena upya....mimi niliyauwa matatu kwa sumu baada ya kuona yanataka kuzaliana kwa wingi kwenye makazi niliyopoWanasema huyo ni bwana afya, anasafisha kila kitu
ana kesi nzito sana ya nini hiyo? kesi ya traffic au kesi ya nini? wanasheria uchwara hao.View attachment 2799117
Amemgonga huyu ndege bwana afya na bodaboda mpaka kifo mbele ya mashahidi lukuki.
Wanasheria wa mtaani wanadai ana kesi nzito sana hapa ya kujibu.
Kwa kuanza tu ametoroka mjini ameenda kujificha.
Basi huyu rafiki yako atakuwa Mnyamwezi wa Kaliua au Nzega, hawa watu wana ushamba fulani wa kijingaView attachment 2799117
Amemgonga huyu ndege bwana afya na bodaboda mpaka kifo mbele ya mashahidi lukuki.
Wanasheria wa mtaani wanadai ana kesi nzito sana hapa ya kujibu.
Kwa kuanza tu ametoroka mjini ameenda kujificha.
Bwana afyaNi ndege aina gani huyu? Kwani amemgonga makusudi? Aache uoga