Jamaa yangu anadaiwa kuwa na tabia ya kudokoa mboga

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Hello JF,

Shemeji angu(mke wa mshikaji angu)kaja kunishtakia kuwa jamaa angu ana tabia mbaya sana inayomkera,tabia yenyewe ni kwamba jamaa ana tabia ya kudokoa mboga jikoni.

Kesi kama hii naisolve vipi wakuu?
 
Hako ni katabia kabaya sana,huyo jamaa yako alikuwa nako tangia akiwa mdogo,wazazi wake au walezi wake hawakukazuia mapema sasa kanamtesa ukubwani.Kama vipi amtafutie dawa miti shamba anapona bila shida yoyote ,hako katabia sio kazuri kwa mtu mzima tena mwanaume mwenye familia.
 
cfd6795d4c780615847d7b470f3ce4bc.gif
 
Hako ni katabia kabaya sana,huyo jamaa yako alikuwa nako tangia akiwa mdogo,wazazi wake au walezi wake hawakukazuia mapema sasa kanamtesa ukubwani.Kama vipi amtafutie dawa miti shamba anapona bila shida yoyote ,hako katabia sio kazuri kwa mtu mzima tena mwanaume mwenye familia.
Dawa gani hiyo mkuu?
 
Mganga tena?!.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amekuja kwako kama shoga ake eti? Unaletewaje kesi kama hiyo kama sio na wewe unapenda umbea mkuu au anakutaka? Ila anazunguka?
 
Suluhisho ni kupika mboga ya kutosha.

Nina jamaa yangu pia yuko hivyo. Hata kwake. Na nimeshamzoea akija ghetto kama kuna mboga lazima adokoe ila sio kama anaiba. Maana anachukua mkiwa wote.
 
Back
Top Bottom