Nampa pole. Kama mwanaume, alifanya kosa kubweteka kwa kukaa na kusubiri kununuliwa na kutunzwa na mwanamke. Mi maisha yangu yote sijawahi kusikia baba wa nyumbani, mara nyingi nimesikia mama wa nyumbani. Alipaswa kuomba mtaji kipindi kile ambacho huyo dada alikuwa anamhudumia ili afanye shughuli za kujitegemea.
Sishangai sana huyo dada kuamua kumpiga chini huyo kaka, maana labda ameona kuwa ni mtu asiyefikiria mambo ya maendeleo, imagine kipindi chote hicho hataki kujishughulisha, ataweza vipi kusimamamia familia yake kama akipewa nafasi ya kuwa mume?
Mshauri rafiki yako, abadili tabia. Nasita mno kumtetea.
hivyo huyo jamaa yko akija kujua utumbo wake umeuweka humu JF hamtagombana kweli.
Wanawake wa maofisi wapoje kwani?
Sasa arif angu, kama huyo jamaa ni n'shkaji wako si ungemgea japo kwa mkopo usio na riba hiyo 100k ili jamaa yako aendelee kuwa "baba wa nyumbani"?
Ona sasa mshkaji amegeuka "baba wa kijiweni" unapata mzigo wa kumkatia mshiko wa kusavaivu. Sasa uwe makini manake kishazoea akipewa hela akili inahamia kwenye kichwa cha chini, asije akakutamani akataka kufanya kama alivyokuwa anamfanyia mama wa NBC.... Yu knooo woram seyyying?
kwenye red mkuu hapo,huogopi?Akina Jafarai hao, dume zima halitaki kujishughulisha, limebakia kutegemea mwanamke!
shame!!!!
NAMWAMBIA KUMBE HUWAJUI WANAWAKE TENA WA MAOFISINI , kaachwa na bado haamini.
alitaka atunzwe mpaka lini?
hlf anaona yy ndiyo mgawa dozi tu hapa duniani............mwambie pamoja na mapungufu yake ya kulelewa huyo dada ndiyo kakutana na mashine mnato zaidi yake............na akumbuke tu kwenye mahusiano wanawake wanapendwa KUPENDW(LOVED), KULINDWA(PROTECTED) ,KUJALIWA NA KUTHAMINIWA(CARED) ,KUHESHIMIWA, KUMILIKIWA NA KUONGOZWA(HAPA NASISITIZA NA KUONGOZWA ,NAKUONGOZWA ,NAKUONGOZWA).
Magume gume..wanaapenda kumtumia mtu akimchoka annafanya kama alivofanyiwa jamaa..(UMERIDHIKA??? NA JUA HUWEZI RIDHIKA WE SI NI MWANAAMKE WA OFISINI PIA!!)
Nampa pole. Kama mwanaume, alifanya kosa kubweteka kwa kukaa na kusubiri kununuliwa na kutunzwa na mwanamke. Mi maisha yangu yote sijawahi kusikia baba wa nyumbani, mara nyingi nimesikia mama wa nyumbani. Alipaswa kuomba mtaji kipindi kile ambacho huyo dada alikuwa anamhudumia ili afanye shughuli za kujitegemea.
Sishangai sana huyo dada kuamua kumpiga chini huyo kaka, maana labda ameona kuwa ni mtu asiyefikiria mambo ya maendeleo, imagine kipindi chote hicho hataki kujishughulisha, ataweza vipi kusimamamia familia yake kama akipewa nafasi ya kuwa mume?
Mshauri rafiki yako, abadili tabia. Nasita mno kumtetea.
Hivi hiyo ndio inayotafsiriwa kama mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.............sijui hapa ilikuwaje............lol
Inaonekana mwanamke akiwa na aina fulani ya kazi anakua kimeo kwa baadhi ya wanaume!