Jamaa yangu kamfuma house gelo wake anampiga chabo mkewe akiwa anaoga

Jamaa yangu kamfuma house gelo wake anampiga chabo mkewe akiwa anaoga

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Habari za leo wakuu.

Leo tukiwa kibaruani kwetu kwa mhindi,sasa tukawa tunapiga story mbili tatu kupoteza muda tu ili masaa yaende tuondoke zetu kurudi home.

Kuna jamaa yetu akatushirikisha jambo ambalo mimi binafsi limenishangaza kidogo.

Jamaa anasema juzi aliporudi home usiku mida ya kama saa 3 hivi,alimfuma house gelo wake anampiga chabo mkewe.

Jamaa haelewi ile kitu ina maana gani.hajamshirikisha mkewe hilo jambo mpaka sasa.
Ametuomba ushauri, tumshaurije hapa wakuu?
 
Screenshot_20250221-124946~2.jpg
 
Najua ulichomaanisha ni kwamba mke kamfuma jamaa anampiga chabo housegirl wao
 
House girl yupo field anachunguza mambo kwa ufasaha aone wapi atapata points 3 za ushindi.

We unadhani hana moyo?
 
Back
Top Bottom