Jamaa yangu na life style kama Diamond Platnumz

Jamaa yangu na life style kama Diamond Platnumz

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Wakuu Habari za saa hizi!

Wakuu mimi nina Rafiki yangu mmoja hivi sio kivilee sana hapana ila ni kukutana kitaa tunapeana tano basi life linaendelea.

Kitu kimoja kinachonishinda kwa huyu jamaa yangu ni kwamba anamkubali kinyama sana Diamond sio nyimbo, mavazi, mpaka kuwa na watoto, just Imagine anakwambia Diamond akipiga wa tano na yeye huku atapiga wa tano😂😂🙉, kwaiyo wao wote sahivi wote wana watoto wanne akiwemo na jamaa yangu.

Jamaa yangu huyu hakuna nywele ambazo yeye Diamond ameweka yeye pia asiweke, namshangaa pia nami ananishangaa,

Wakuu hii ni sawa au ni uamuzi wa mtu?
 
Kila mbuzi atakula vyovyote ila kula yake inategemea kamba aliyofungwa shingoni, Jinsi kamba itakavyokua ndeefu, Ndivyo huyo mbuzi atakavyokua anainjoy kuwepo Duniani na vaiz veza
 
Ni maisha yake hayo, wala hakuna cha ajabu. Uwiiiiii
 
Back
Top Bottom