Hapo ndipo tatizo lilipoanzia, kama asingeingia je?Kwa maelezo yake aliingia kuangaza macho tu.
Mke nae anaangaza machoKwa maelezo yake aliingia kuangaza macho tu.
Uko sahihi kabisaKawaida sana ,kujoin group haina maana kama ndiyo unaenda kutafuta labda ku experience vitu tu na vichekesho vya humo, labda aliona meme kwenye hilo group ikamvutia kujoin.
Mimi nipo kwenye group la madereva na wafugaji wakati sina hata mfugo na hata kuendesha lori siwezi na leseni sina.
Tupe link tutafutane naoNi matumaini yangu kila mmoja wetu ni mzima wa afya.
Kuna issue moja jamaa yangu kanisimulia na kuniomba ushauri nikashindwa hata pa kuanzia kumshauri asee.
Jamaa na mkew wako kwenye ndoa huu ni mwaka wa 5 wanaishi pamoja na wamejaaliwa kuwa na watoto wawili.
Jamaa anasema juzi jumapili wakt anaangalia angalia mtandaoni akaingia FaceBook akukutana na group moja linaitwa wanaotafuta wachumba, jamaa anasema yeye akaona aingie kuangaza macho, ila cha ajabu akakuta mkewe nae ni member wa hilo group.
Jamaa ni kama hajaelewa lengo la mkewe huyo kuwa kwenye group kama hilo wakt ni mke wa mtu.
Anaomba ushauri, achukue hatua gani?
Kama kaingia kwa siri, amuombe uchumba mkeweNi matumaini yangu kila mmoja wetu ni mzima wa afya.
Kuna issue moja jamaa yangu kanisimulia na kuniomba ushauri nikashindwa hata pa kuanzia kumshauri asee.
Jamaa na mkew wako kwenye ndoa huu ni mwaka wa 5 wanaishi pamoja na wamejaaliwa kuwa na watoto wawili.
Jamaa anasema juzi jumapili wakt anaangalia angalia mtandaoni akaingia FaceBook akukutana na group moja linaitwa wanaotafuta wachumba, jamaa anasema yeye akaona aingie kuangaza macho, ila cha ajabu akakuta mkewe nae ni member wa hilo group.
Jamaa ni kama hajaelewa lengo la mkewe huyo kuwa kwenye group kama hilo wakt ni mke wa mtu.
Anaomba ushauri, achukue hatua gani?
pengine aliingia kwenye hilo group kabla hajaolewa, mbona kukimbilia kuhukumuNi matumaini yangu kila mmoja wetu ni mzima wa afya.
Kuna issue moja jamaa yangu kanisimulia na kuniomba ushauri nikashindwa hata pa kuanzia kumshauri asee.
Jamaa na mkew wako kwenye ndoa huu ni mwaka wa 5 wanaishi pamoja na wamejaaliwa kuwa na watoto wawili.
Jamaa anasema juzi jumapili wakt anaangalia angalia mtandaoni akaingia FaceBook akukutana na group moja linaitwa wanaotafuta wachumba, jamaa anasema yeye akaona aingie kuangaza macho, ila cha ajabu akakuta mkewe nae ni member wa hilo group.
Jamaa ni kama hajaelewa lengo la mkewe huyo kuwa kwenye group kama hilo wakt ni mke wa mtu.
Anaomba ushauri, achukue hatua gani?
Amka unywe ujiWote wanaangaza macho tu humo, sasa kazi kwao walale kabisa au washauriane kuleft.....