Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ajue tu na mkewe ameingia kuangaza macho kama yeye.. macho yenyewe haya ujue hayana pazia.Kwa maelezo yake aliingia kuangaza macho tu.
Ni wewe. Ile thread nyingine si ulijisifu kuchakata mke wa mtu. Hata wako kwa wajuba wengine wanaona ni mke wa mtu nao wanamchakata fureshiii tuSio mimi mazee
jamaa anaomba ushauri kwa mlango wa nyuma 😅Ni jamaa yako au ni wewe?
Ukitaka kuteseka basi wewe chukulia ndoa kama kitu serious sana utakufa kabla ya siku zako.Ni matumaini yangu kila mmoja wetu ni mzima wa afya.
Kuna issue moja jamaa yangu kanisimulia na kuniomba ushauri nikashindwa hata pa kuanzia kumshauri asee.
Jamaa na mkew wako kwenye ndoa huu ni mwaka wa 5 wanaishi pamoja na wamejaaliwa kuwa na watoto wawili.
Jamaa anasema juzi jumapili wakt anaangalia angalia mtandaoni akaingia FaceBook akukutana na group moja linaitwa wanaotafuta wachumba, jamaa anasema yeye akaona aingie kuangaza macho, ila cha ajabu akakuta mkewe nae ni member wa hilo group.
Jamaa ni kama hajaelewa lengo la mkewe huyo kuwa kwenye group kama hilo wakt ni mke wa mtu.
Anaomba ushauri, achukue hatua gani?
Alichokifuata yeye kwenye group, ndo alichokifuata mkewe.Ni matumaini yangu kila mmoja wetu ni mzima wa afya.
Kuna issue moja jamaa yangu kanisimulia na kuniomba ushauri nikashindwa hata pa kuanzia kumshauri asee.
Jamaa na mkew wako kwenye ndoa huu ni mwaka wa 5 wanaishi pamoja na wamejaaliwa kuwa na watoto wawili.
Jamaa anasema juzi jumapili wakt anaangalia angalia mtandaoni akaingia FaceBook akukutana na group moja linaitwa wanaotafuta wachumba, jamaa anasema yeye akaona aingie kuangaza macho, ila cha ajabu akakuta mkewe nae ni member wa hilo group.
Jamaa ni kama hajaelewa lengo la mkewe huyo kuwa kwenye group kama hilo wakt ni mke wa mtu.
Anaomba ushauri, achukue hatua gani?
Achukue hatua za nini tena wakati alikuwa anatafuta Mchumba mpya aka totozi.Ni matumaini yangu kila mmoja wetu ni mzima wa afya.