Jamaa yangu na mkewe wamejikuta kwenye group moja la kutafuta Wachumba huko FaceBook

Kawaida nipo hadi kwenye group la quran na sijawahi hata ishika
 
unajua kwenye haya magroup kuna watu wana tabia ya kuchukua picha za watu wakapost, unakuta picha ya mdada mkali anasema anatafuta mchumba kumbe mhusika hata habari hana huenda ndicho kimempata mkewe.
Nakumbuka miaka 2016 kuna dada jirani yetu ilitumika picha kwenye group fulani la madada wanajiuza. Dada akaanza pigiwa simu eti anajiuza. Dada alihangaika polisi sijui wapi ili picha zake kuona kama zitaondolewa lakini juhudi zake hazikuzaa matunda.
 
Mnapata wap muda wa kupekuchua simu za wake zenu..

Kama mke anatimiza majukumu yake yote kwa mumewe hauna haja ya kupekuana pekuana & vice versa is True.
 
Hamnaga kuangaza macho huko, alikua kwenye process za kumcheat na kumkana mkewe.

Sasa nae kamkuta huko anataka kuleta zogo
 
Asubuhi badala ya kujishughulisha kupata hela. Wewe uko busy kutuletea chai humu
 
Labda ali-join kipindi ambacho bado hajaolewa, facebook ni ya miaka mingi. Kama anaona ilo ni tatizo amuulize ilikuaje aka-join uko vile vile ajipange ikitokea na yeye akaulizwa alifuata nini uko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…