Jamaa yangu na mkewe wamejikuta kwenye group moja la kutafuta Wachumba huko FaceBook

Itakua alijiunga kabla ya ndoa akasahau ku left baada ya kuolewa.
 
Mbona nipo kwenye group la wagogo na Mimi sio mgogonna sina hata rafiki mgogo
Kuna link zinakuja unaamua Tu kujoin kuona mambo mapya
 
Inshu mbona ndogo sana iyo, uyo bidada aliingia si kama mumewe kufresh akili tu mbona hakuna tatizo kabisa
 
binadamu tumekuwa wabinafsi sana, yaan yeye awe huru kuangaza macho, mwenzake asiwe na uhuru huo, si sawaaaaa

hv ephen_ upo kwel?
 
Ukitaka kuteseka basi wewe chukulia ndoa kama kitu serious sana utakufa kabla ya siku zako.

Acha upelelezi kwenye mitandao, fanya yako sepa.

Mimi nipo kwenye magroup ya wazungu Divorced group na singles vilevile, sasa atakayejifanya yeye ni mpelelezi wa maisha yangu hizo ni shida zako mimi mwenyewe ndio najuwa kwa nini nipo humo
 
Alichokifuata yeye kwenye group, ndo alichokifuata mkewe.
 
Achukue hatua za nini tena wakati alikuwa anatafuta Mchumba mpya aka totozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…