JAMAANI HIVI VIJANA MNA NINI

Nani katumiwa hiyo msg?
 
Wapenda show off ndo walivyo, huwa hawaogopi chochote kabisa... hata kuitumbukiza ndizi kwenye mchemsho kwao siyo ajabu kabisa 🤒😎
 
Sasa wanaofanya hizo mambo wala sio maskini.....ni Tamaa tu na kujimwambafy
hili liko wazi mkuu na unakataa siyo umasikini
kama siyo umasikini ni nini sasa
ombaomba siyo masikini
si angenunua hiyo simu kama siyo masikini
umasikini ni kile kitendo cha kushindwa kutimiza mahitaji yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…