ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwa wale walioifuatilia tamthilia hii kupitia Azam kwa muda mrefu sasa watakubaliana na hili
Huyo Sedaat ni Kama kawa chizi sasa tofauti na alivyokua mwaka jana sasa hivi amekuja huyu msichana ambaye ati walikua pamoja utotoni na seedat naye ni chizi haeleweki!
Mchezo washautibua.. Sultan twende kazi..!