Jamal Malinzi anakula na nani?? Geita wameapa kwenda "Kuhiji" Chato

Jeff Gemo

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
34
Reaction score
26
Salaam wana JF.

Jana kupitia kipindi cha michezo Radio Times "Wizara ya Michezo" nimesikia kwa masikio uchi kabisa bila kisaidizi namna ambavyo Malinzi anaendesha (au pengine kuendeshwa..Who knows!) Soka la nchi hii.

Kuna kesi ambayo haijajulikana inaisha lini, madai ya muda mrefu ambayo yanatakiwa kutafutiwa ufumbuzi kwa wakati. Wale Geita walikataa kutoa rushwa na ndio ukawa mwisho wao, tena wakaporomoshwa wala sio kushushwa.

Jamaa akaenda mbali zaidi kwa kuonesha nyaraka za ripoti ya ukaguzi zikionesha Bw. Malinzi kujilipa mamilioni ya shilingi bila kueleza sababu wala kuweka kiambatanisho (supporting Documents), na sio mara moja.

Ukiachana na hilo kabla kichwa hakijapoa, hawa DTB walikuwa tayari wana mabango yao uwanjani lakini jana (19/9/2016) ndio wameingia mkataba (haikuwa ku"re-new"), sasa mtu unaweza kujiuliza waliwezaje kuweka mabango bila mkataba? Na kama upo kwanini ulikuwa ni wa siri?

Usichoke, namalizia moja ya mwisho kwa leo, hii pesa yenyewe sasa ni Milioni 250 lakini nafasi waliyopewa eti kuwa Bank rasmi sijui utumbo gani.. Hivi CRDB waliishia wapi?? Wao walikuwa na shilingi ngapi?? Hii kitu TFF walitangaza wapi?? Hiyo pesa kweli kabisa unaweza kusema ni udhamini??

Achilia mbali timu za daraja la kwanza kulazimishwa kuprint nembo la mdhamini bila maslahi, mgao wa kibabe wa Azam TV na mazingaombwe mengine yote.. Ninachojiuliza ni kwamba Bwana Malinzi ana nani nyuma yake anayemkingia kifua?

Hakuna mpenzi wa michezo nchini anayemkubali Malinzi, ameshafeli muda mrefu sana na hata yeye anajua kwamba hapendwi na haungwi mkono.

Rais anashindwa mambo madogo tu kama kutweet taarifa sahihi ambazo hata wewe msomaji unaweza kufanya ukiwa usingizini, jamaa hawezi kabisa yaani lazima atoe boko hata kama yupo uwanjani. Sasa mambo makubwa yanayohitaji kutumia akili tunawezaje kumtegemea??

Sasa haya malalamiko ya Geita yenye ushahidi wa maandishi na mengine sauti inamaana hayajafika kwa vyombo husika? Sasa mbona hatusikii chochote??? Yaani mnataka kutuaminisha kwamba Malinzi haguswi?? Na yeye anajua kwamba hatoguswa ndio maana anafanya anayoyafanya?? Nani huyo anayempa kiburi???

Tangu aondoke mzee wetu Tenga kila kitu kimekuwa ovyo, soka linaporomoka na hamasa imeshuka, hakuna mtu anataka kuunga mkono mambo yasiyoeleweka, hata ligi kuu yenyewe tunajilazimisha tu kwa mahaba ya timu zetu lakini sio vinginevyo.

Wale Geita wamesema waislamu huenda kuhiji Mecca, na wakristo huenda Israel, sasa wao kama wasiposikilizwa madai yao, wamesema watakwenda kuhiji Chato mpaka kieleweke... Mimi ndio nasubiri hapo tu.

Ok, nimalize na hii homework.. Tumtafute aliye nyuma ya Malinzi, anayekwamisha hizi kesi na kudumaza soka letu, tumuulize kwa heshima, hekima, busara na upole, TULIMKOSEA NINI SISI WATANZANIA??

Jeff Gemo Mnyama Machine
The One Man Army
Affirmative Gemo The Great

[HASHTAG]#SeriesFreeLife[/HASHTAG]
Season 2 | Episode 2
 
Bongo visingizio, majungu ni mengi sana. Hata akija nani wabongo ni wanafiki sana na wataalamu wa kuchonga tu. Hamkumbuki mlisemaje enzi za JK na leo kaja JPM mnasemaje, haueleweki na hamjielewi
Umetokea ule Mkoa wenye uwanja wenye nyasi bandia nini? Maana huenda ni nyinyi peke yenu wenye matumaini na huyu kiongozi kwa sasa.
 
mim sa hv naaiangalia serengeti boys tu hao wengine wanajuana wenywe
 
Bongo visingizio, majungu ni mengi sana. Hata akija nani wabongo ni wanafiki sana na wataalamu wa kuchonga tu. Hamkumbuki mlisemaje enzi za JK na leo kaja JPM mnasemaje, haueleweki na hamjielewi
Kaka umesoma vizuri lakini? Samahani lakini
 
Umetokea ule Mkoa wenye uwanja wenye nyasi bandia nini? Maana huenda ni nyinyi peke yenu wenye matumaini na huyu kiongozi kwa sasa.
Mafanikio pekee aliyonayo Malinzi ni timu ya Kilimanjaro Queens kuwa mabingwa wa CECAFA WANAWAKE
 
Aligombea akashinda na sasa ni mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kagera.

Na Rais wa TFF akamtumia salamu za pongezi.
yaani ni sawa na magufuli ajiteue kuwa mkuu wa mkoa wa geita...noma sana
 
Salaam wana JF.

Jana kupitia kipindi cha michezo Radio Times "Wizara ya Michezo" nimesikia kwa masikio uchi kabisa bila kisaidizi namna ambavyo Malinzi anaendesha (au pengine kuendeshwa..Who knows!) Soka la nchi hii.

Kuna kesi ambayo haijajulikana inaisha lini, madai ya muda mrefu ambayo yanatakiwa kutafutiwa ufumbuzi kwa wakati. Wale Geita walikataa kutoa rushwa na ndio ukawa mwisho wao, tena wakaporomoshwa wala sio kushushwa.

Jamaa akaenda mbali zaidi kwa kuonesha nyaraka za ripoti ya ukaguzi zikionesha Bw. Malinzi kujilipa mamilioni ya shilingi bila kueleza sababu wala kuweka kiambatanisho (supporting Documents), na sio mara moja.

Ukiachana na hilo kabla kichwa hakijapoa, hawa DTB walikuwa tayari wana mabango yao uwanjani lakini jana (19/9/2016) ndio wameingia mkataba (haikuwa ku"re-new"), sasa mtu unaweza kujiuliza waliwezaje kuweka mabango bila mkataba? Na kama upo kwanini ulikuwa ni wa siri?

Usichoke, namalizia moja ya mwisho kwa leo, hii pesa yenyewe sasa ni Milioni 250 lakini nafasi waliyopewa eti kuwa Bank rasmi sijui utumbo gani.. Hivi CRDB waliishia wapi?? Wao walikuwa na shilingi ngapi?? Hii kitu TFF walitangaza wapi?? Hiyo pesa kweli kabisa unaweza kusema ni udhamini??

Achilia mbali timu za daraja la kwanza kulazimishwa kuprint nembo la mdhamini bila maslahi, mgao wa kibabe wa Azam TV na mazingaombwe mengine yote.. Ninachojiuliza ni kwamba Bwana Malinzi ana nani nyuma yake anayemkingia kifua?

Hakuna mpenzi wa michezo nchini anayemkubali Malinzi, ameshafeli muda mrefu sana na hata yeye anajua kwamba hapendwi na haungwi mkono.

Rais anashindwa mambo madogo tu kama kutweet taarifa sahihi ambazo hata wewe msomaji unaweza kufanya ukiwa usingizini, jamaa hawezi kabisa yaani lazima atoe boko hata kama yupo uwanjani. Sasa mambo makubwa yanayohitaji kutumia akili tunawezaje kumtegemea??

Sasa haya malalamiko ya Geita yenye ushahidi wa maandishi na mengine sauti inamaana hayajafika kwa vyombo husika? Sasa mbona hatusikii chochote??? Yaani mnataka kutuaminisha kwamba Malinzi haguswi?? Na yeye anajua kwamba hatoguswa ndio maana anafanya anayoyafanya?? Nani huyo anayempa kiburi???

Tangu aondoke mzee wetu Tenga kila kitu kimekuwa ovyo, soka linaporomoka na hamasa imeshuka, hakuna mtu anataka kuunga mkono mambo yasiyoeleweka, hata ligi kuu yenyewe tunajilazimisha tu kwa mahaba ya timu zetu lakini sio vinginevyo.

Wale Geita wamesema waislamu huenda kuhiji Mecca, na wakristo huenda Israel, sasa wao kama wasiposikilizwa madai yao, wamesema watakwenda kuhiji Chato mpaka kieleweke... Mimi ndio nasubiri hapo tu.

Ok, nimalize na hii homework.. Tumtafute aliye nyuma ya Malinzi, anayekwamisha hizi kesi na kudumaza soka letu, tumuulize kwa heshima, hekima, busara na upole, TULIMKOSEA NINI SISI WATANZANIA??

Jeff Gemo Mnyama Machine
The One Man Army
Affirmative Gemo The Great

[HASHTAG]#SeriesFreeLife[/HASHTAG]
Season 2 | Episode 2

Umemaliza, basi na wewe tunskuuliza nani yuko nyuma yako. Mpira hauingiliwi na chato
 
upuuzi mtupu, yaani mtu anakwapua pesa tu, anaendesha shirikisho kama familia yake halafu unasema haliingiliwi...
 
Tunaendesha TFF kama tunavyoendesha nchi, kwani ulikua unasemaje?
 
upuuzi mtupu, yaani mtu anakwapua pesa tu, anaendesha shirikisho kama familia yake halafu unasema haliingiliwi...

Mtafute umwambie ana kwa ana yupo Karume. Au initiate court proceedings
 
unatofauti gani na yule aliyeshukuru serikali ya Magu kwa kuwaletea kupatwa kwa jua, au yule anayetaka magufuli amuondoe malinzi (mafuta na maji)...
soma muundo wa soka uivyo na ndio uanze kulalamika...
 
Salaam wana JF.

Jana kupitia kipindi cha michezo Radio Times "Wizara ya Michezo" nimesikia kwa masikio uchi kabisa bila kisaidizi namna ambavyo Malinzi anaendesha (au pengine kuendeshwa..Who knows!) Soka la nchi hii.

Kuna kesi ambayo haijajulikana inaisha lini, madai ya muda mrefu ambayo yanatakiwa kutafutiwa ufumbuzi kwa wakati. Wale Geita walikataa kutoa rushwa na ndio ukawa mwisho wao, tena wakaporomoshwa wala sio kushushwa.

Jamaa akaenda mbali zaidi kwa kuonesha nyaraka za ripoti ya ukaguzi zikionesha Bw. Malinzi kujilipa mamilioni ya shilingi bila kueleza sababu wala kuweka kiambatanisho (supporting Documents), na sio mara moja.

Ukiachana na hilo kabla kichwa hakijapoa, hawa DTB walikuwa tayari wana mabango yao uwanjani lakini jana (19/9/2016) ndio wameingia mkataba (haikuwa ku"re-new"), sasa mtu unaweza kujiuliza waliwezaje kuweka mabango bila mkataba? Na kama upo kwanini ulikuwa ni wa siri?

Usichoke, namalizia moja ya mwisho kwa leo, hii pesa yenyewe sasa ni Milioni 250 lakini nafasi waliyopewa eti kuwa Bank rasmi sijui utumbo gani.. Hivi CRDB waliishia wapi?? Wao walikuwa na shilingi ngapi?? Hii kitu TFF walitangaza wapi?? Hiyo pesa kweli kabisa unaweza kusema ni udhamini??

Achilia mbali timu za daraja la kwanza kulazimishwa kuprint nembo la mdhamini bila maslahi, mgao wa kibabe wa Azam TV na mazingaombwe mengine yote.. Ninachojiuliza ni kwamba Bwana Malinzi ana nani nyuma yake anayemkingia kifua?

Hakuna mpenzi wa michezo nchini anayemkubali Malinzi, ameshafeli muda mrefu sana na hata yeye anajua kwamba hapendwi na haungwi mkono.

Rais anashindwa mambo madogo tu kama kutweet taarifa sahihi ambazo hata wewe msomaji unaweza kufanya ukiwa usingizini, jamaa hawezi kabisa yaani lazima atoe boko hata kama yupo uwanjani. Sasa mambo makubwa yanayohitaji kutumia akili tunawezaje kumtegemea??

Sasa haya malalamiko ya Geita yenye ushahidi wa maandishi na mengine sauti inamaana hayajafika kwa vyombo husika? Sasa mbona hatusikii chochote??? Yaani mnataka kutuaminisha kwamba Malinzi haguswi?? Na yeye anajua kwamba hatoguswa ndio maana anafanya anayoyafanya?? Nani huyo anayempa kiburi???

Tangu aondoke mzee wetu Tenga kila kitu kimekuwa ovyo, soka linaporomoka na hamasa imeshuka, hakuna mtu anataka kuunga mkono mambo yasiyoeleweka, hata ligi kuu yenyewe tunajilazimisha tu kwa mahaba ya timu zetu lakini sio vinginevyo.

Wale Geita wamesema waislamu huenda kuhiji Mecca, na wakristo huenda Israel, sasa wao kama wasiposikilizwa madai yao, wamesema watakwenda kuhiji Chato mpaka kieleweke... Mimi ndio nasubiri hapo tu.

Ok, nimalize na hii homework.. Tumtafute aliye nyuma ya Malinzi, anayekwamisha hizi kesi na kudumaza soka letu, tumuulize kwa heshima, hekima, busara na upole, TULIMKOSEA NINI SISI WATANZANIA??

Jeff Gemo Mnyama Machine
The One Man Army
Affirmative Gemo The Great

[HASHTAG]#SeriesFreeLife[/HASHTAG]
Season 2 | Episode 2
Hahahaaaa! TeamNyamlani bado mnapambana tu? Ni kichaa pekee atakaeshindwa kung'amua nini kilikuwa kinaendelea kwenye mchezo wa mwisho wa geita gold sports kule kigoma
 
soka limmshinda hajui aanzie wapi au aende wapi yupo yupo tu
 
Tatizo lenu nyie msiopenda malinzi mnakuwa na mihemko na povu jingi mpk mnashindwa kumtafutia angle ya kumbana mmebaki kudandia kila hoja mpya inayoibuka ...mara ooh geita gold ,mara kajilipa mamilioni, mara kakosea kutweet ,mara mkataba wa dtb mara kapanga matokeo....nawashauri jipangeni na muache mihemko
 
soka limmshinda hajui aanzie wapi au aende wapi yupo yupo tu

lini watanzania soka tumeliweza?? Toka mwaka 1980 timu ya taifa haijawahi kufuzu hta michuano ya mataifa ya africa hlf still mnaona malinzi ndyo tatizo
 
Back
Top Bottom