Jamal Malinzi anakula na nani?? Geita wameapa kwenda "Kuhiji" Chato

Jamal Malinzi anakula na nani?? Geita wameapa kwenda "Kuhiji" Chato

Aligombea akashinda na sasa ni mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kagera.

Na Rais wa TFF akamtumia salamu za pongezi.
Malinzi anajua kuwa si rahisi kurudi TFF baada ya kuvurunda, sasa ameona bora atafute sehemu ya kujiegesha hata kama akishindwa TFF ndio maana kaenda kugombea Kagera
 
Tatizo lenu nyie msiopenda malinzi mnakuwa na mihemko na povu jingi mpk mnashindwa kumtafutia angle ya kumbana mmebaki kudandia kila hoja mpya inayoibuka ...mara ooh geita gold ,mara kajilipa mamilioni, mara kakosea kutweet ,mara mkataba wa dtb mara kapanga matokeo....nawashauri jipangeni na muache mihemko
kuna tofauti ya wapenda soka na wapenda mtu,kwa wapenda soka tunaona mchezo huo unavyoshuka hadhi siku hadi siku tafauti na wewe unayependa mtu kiasi kwamba huoni Jamal Malinzi ni jipu linalohitaji kutumbuliwa
 
Back
Top Bottom