Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Vichwa vya watanzania vimejaa udini. Na huo udini umepotosha fikra na ufahamu wa wengi. Hapo Malinzi amempasha mdini aliyejaribu kumshawishi apige kura kwa misingi hiyo.
Maslahi ya nchi kwanza ndio hoja kuu ya rais Malinzi. Sasa udini wake uko wapi?
......... dua yake mbaya imempata Sepp Blatter ...... anatoka kiulaiini ! .... Nyenyere, maana alienda kuchakuwa Mla Rushwa., Jamal Malinzi :becky:
Last edited by a moderator: