Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Acheni kumlaumu malinzi hata aje morinho hapa kuja kufundisha mpira hatufiki popote .Tanzania wachezaji wapo wazuri kwani wapo wanaocheza nje ya nchi .mfano.tp mazembe ,uarabuni.asia wapo wachezaji wengi wazuri wa kitanzania japo kuwa uzuri wao ni kwa ajili ya nchi zilizo na viwango duni kidunia ya mpira.
Tatizo Tanzania hatuna wachezaji wanaocheza uingereza.italy,spain na ulaya kwa ujumla.
Ngoja nikutoe tongotongo, Jamal Malinzi ndiye mbeba dira wa soka la Tanzania. Akiwa dhaifu na soka letu ndivyo litakavyokuwa. Akiwa legelege hali kadhalika.
Sasa hao wachezaji wa Italy, Spain na kwingineko mtawapataje kama kuna viongozi aina ya Jamal Malinzi?