mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Wewe uliyenunuliwa laptop na yule mwizi ili umpigie debe humu. Mnajisumbua, kwa mpango uliopo, akishinda kila ukiniona humu nitukanePovu,mpaka uchaguzi uishe utapata hypertension.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Inabidi arudi huko huko akakabane na akina Augo maana soka haiwezi .Huyu nshomile kiazi mbatata kweli, anajidai na yeye Trump. Anashinda twitter alafu anaposti ugoro. Aende tu akafufue kampuni yake ya DJB awapige hela mabondia njaa!!
Wampige Keko au segerea mpaka uchaguzi uisheWangemuweka korokoroni mpaka uchaguzi uishe ingekua raha sana .
Mdau Jamaa yako anaendeleaje Huko??Hao wanasumbuliwa na wivu wa ukabila na si jingine.
Mdau Jamaa yako anaendeleaje Huko??Hao wanasumbuliwa na wivu wa ukabila na si jingine.
Sasa hivi yeye ndio atakuwa anapigwa hiyo katerero Huko!Hata wewe pia kama unataka upigwe katerero mtafute.
Mapito tuu hayo na yatapita.Mdau Jamaa yako anaendeleaje Huko??