Jamal Malinzi ni kitu gani umekisahau pale Karume hadi ugombee tena ?

Huyu nshomile kiazi mbatata kweli, anajidai na yeye Trump. Anashinda twitter alafu anaposti ugoro. Aende tu akafufue kampuni yake ya DJB awapige hela mabondia njaa!!
 
Inabidi arudi huko huko akakabane na akina Augo maana soka haiwezi .
[HASHTAG]#MalinziMustQuit[/HASHTAG]
 
Wangemuweka korokoroni mpaka uchaguzi uishe ingekua raha sana .
 
Dah nakumbushia tu ilivokuwa.
 
Back
Top Bottom