Jamal Malinzi, Rais wa TFF Kujiuzulu

Jamal Malinzi, Rais wa TFF Kujiuzulu

Tatizo watu wengine mna njaa sana kwa hiyo ulitaka wakupe
Pesa ukampikee samata kama ulivyokuwa unapewa na akina tenga hakuna pesa hiyo nayo tff inabana matumizi kama
Mashirika
Mengine ya serikali wakati katibu mkuu wa tff alikuwa nae
Kwenye tukio we unapigia kelele zako gongolamboto fala kabisa au ulitaka jamal alale air port amsubili samata wewe ni pumba nakujua unatumiwa vibaya
 
Ajiuzulu tu..na kale ka kampuni kao ka cargo ndio kamepigwa kufuli..aje tu huku matombo tulime mihogo
 
Hakuna uzembe na upuuzi mkubwa kama uliofanywa na TFF wakiongozwa na Jamal Malinzi...

Mbwana Samata katutoa kimasomaso watanzania. Ni mchezaji pekee kutoka Tanzania kupata tuzo kama hii... Cha ajabu TFF hawakuona umuhimu huo na kuacha kijana huyo kuwasili usiku wa saa nane bila mapokezi yoyote...

Je TFF ilishindwa nini kubadilisha tiketi hata kama imelipwa na CAF?... Mwesiga ulienda kufanya nini Abuja kama ulishindwa kufanya mipango midogo kama hii?

Bila aibu, Jamal Malinzi anaandika kwenye twirter eti Samata anafika saa nane usiku... Gabon wamefanya mapokezi makubwa sana kwa kijana wao na kumpa motisha... TFF wenyewe wako kimya wanagombania tu fedha za kiingilio...

Kwa hili lazima tuseme wazi, huyu Malinzi ni jipu. Na maramia "bora" Tenga angefanya jambo la maana.... Nashukuru sana watanzania kwa kukemea hatua hiyo pamoja na kumtaka Malinzi na Mwesiga wajiuzulu au wangolewe....

Kama mdau wa soka, ninatoa wito kwa Jamal na Mwesiga Kujiuzulu. Nawapa siku 14. Kama watakuwa hawajajiuzulu, nitaaitisha maandamano yasiyo na kikomo....
Duh
 
Baada ya Samatta kusema soka la Tanzania bado lipo chini na BBC wakamuhoji Jamal kwa kupitia kauli hiyo alianza kuweweseka kutoa majibu na kukubali ukweli kuwa soka letu lipo chini. Kwa hilo naona kama vile hana hamu na Samatta.
 
Mtamkumbuka sana ndolanga hili shuzi limekosa mjambaji
 
una uhakika hajapewa mapokezi? mmekuwa wavivu mnalazimisha mambo tuu kwani mlishindwa kwenda kumpokea?
Acha umbulula wewe tff walikua na uwezo wa kubadili tiketi ili afike hata asubuhi tu ili mapokezi yafane sababu hili ni jambo kubwa sana katika soka la tz
 
Back
Top Bottom