CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Mbona wenzenu wamekwenda? Unafikiri angekuja asubuhi watanzania wote wangekuwepo!Saa 8?????usiku???
DuhHakuna uzembe na upuuzi mkubwa kama uliofanywa na TFF wakiongozwa na Jamal Malinzi...
Mbwana Samata katutoa kimasomaso watanzania. Ni mchezaji pekee kutoka Tanzania kupata tuzo kama hii... Cha ajabu TFF hawakuona umuhimu huo na kuacha kijana huyo kuwasili usiku wa saa nane bila mapokezi yoyote...
Je TFF ilishindwa nini kubadilisha tiketi hata kama imelipwa na CAF?... Mwesiga ulienda kufanya nini Abuja kama ulishindwa kufanya mipango midogo kama hii?
Bila aibu, Jamal Malinzi anaandika kwenye twirter eti Samata anafika saa nane usiku... Gabon wamefanya mapokezi makubwa sana kwa kijana wao na kumpa motisha... TFF wenyewe wako kimya wanagombania tu fedha za kiingilio...
Kwa hili lazima tuseme wazi, huyu Malinzi ni jipu. Na maramia "bora" Tenga angefanya jambo la maana.... Nashukuru sana watanzania kwa kukemea hatua hiyo pamoja na kumtaka Malinzi na Mwesiga wajiuzulu au wangolewe....
Kama mdau wa soka, ninatoa wito kwa Jamal na Mwesiga Kujiuzulu. Nawapa siku 14. Kama watakuwa hawajajiuzulu, nitaaitisha maandamano yasiyo na kikomo....
Mbona alichukua vyako ? Si atengeneze vyake au ujuzi mdogo?Bishanga alininyakula vimwana vyangu vya MMU. Namtakia mabaya Tiefuefu
Alitumia jeuri ya hela za tiefuefu...Mbona alichukua vyako ? Si atengeneze vyake au ujuzi mdogo?
Njoo nikupe viphantom new model, vya kimavi tupuBishanga alininyakula vimwana vyangu vya MMU. Namtakia mabaya Tiefuefu
Hivyo bana... ukiteleza kidogo havichelewi kukuanzishia thread.Njoo nikupe viphantom new model, vya kimavi tupu
HahahhaaHivyo bana... ukiteleza kidogo havichelewi kukuanzishia thread.
Hivi kwanini hunipendi kama zamani? Au na wewe ni miongoni mwa nilipokwa na Bishanga Malinzi?
Mimi ni muadilifu mpenzi. Kama ambavyo sijawahi kukusaliti enzi ya penzi letu.Ushasema zamani... Sasa si nilikupenda zamani babu? Saiv ushakuwa babu nikupendee nini? Btw way hivi hujatumbuliwa???
Acha umbulula wewe tff walikua na uwezo wa kubadili tiketi ili afike hata asubuhi tu ili mapokezi yafane sababu hili ni jambo kubwa sana katika soka la tzuna uhakika hajapewa mapokezi? mmekuwa wavivu mnalazimisha mambo tuu kwani mlishindwa kwenda kumpokea?
una uhakika hajapewa mapokezi? mmekuwa wavivu mnalazimisha mambo tuu kwani mlishindwa kwenda kumpokea?[/QUOTE
Povu la nini? njoo taratibu....
naona umekurupushwa ulipokuwa ...