Jamal Malinzi: Uchu wa madaraka utakutumbua

Jamal Malinzi: Uchu wa madaraka utakutumbua

Uroho wa madaraka,
ulimbukeni wa madaraka,
wizi na rushwa tff,
ubabe na kubebwa na nape mfano kesi ya stendi united.
Soka kiufupi limezikwa na hii ndumbwendumbwe.
 
Toka Malinzi alipoanza kwa kukusanya wachezaji vijijini eti wawe sijui Taifa stars maboresho nilijua zama za giza kwenye soka letu zinaendelea.
 
Back
Top Bottom