Jamal Tamimu akikatwa jina CCM kwa mara nyingine Muhambwe mtapata shida

Jamal Tamimu akikatwa jina CCM kwa mara nyingine Muhambwe mtapata shida

Huyo jamali anakshifa ya kuua watu na kunyanyasa ....


Hata hizo kula kahonga ndio maana kashinda ....


Jamali huko mabamba wanamjua sana sio mtu mzuri


Anaskendo kibao sana za ujambazi ,wizi ,uuaji na mengine .....
 
Huku CCM ni laana tupu muuane ndio tu,kazi kuiba kura na kujitangaza
 
Sasa Hivi atachukuwa tu ubunge ingawaje Huyu mwarabu Muha Skendo ya kukill Ina mtesa sana
 
Siku mgombea binafsi hasa kwenye hizi nafasi za huku chini atakaporuhusiwa hivi vyama vitakua vinalia kutoka wa kura 137, wa kura 132 anachukuliwa wa kura 78, inamaana wajumbe hawajui kupima watu huko chini au kuna rushwa au ni nn?

Labda kama kuna harufu ya rushwa ndani yake lakini kwa gap hilo huyo jamaa angepata fursa ya kusimama kama independent na tume ikawa huru na fair uwezekano wa kushinda ni mkubwa sana.
 
Fikra za Mwendazake zingali zinadumu Chamani, hivyo Jamal aendelee kua mvumilivu. Infact hapa ni kunywa Mtory style, nyama utazikuta mbeleni.
 
Sio hivyo tu enzi za wanachama kupiga kura ndio alikuwa anawaacha kura kwa maelfu mengi tu kina NTAGAZWA WANAMJUA na kuhusu hilo suala wanalomsingizia la kuua au ujambazi ni kashfa tu, mbona siku zote wako naye na anashiriki shughuli za kimaendelo ikija kwenye kumkata jina ndio zinakuja skendo na sheria huwa haiangalii skendo inaangalia ushahidi je alishashtakiwa hata kwa kosa moja la ujambazi au uuaji jibu ni hapana.
 
Back
Top Bottom