Nyie nilini mliwahi kuchukua kombe la Africa?Wameshindwa kutuwakilisha kimataifa inakera sana
Mkuu unataka mikia wajinyongeSimba ubingwa kwenye njozi mpaka Manji atoke kuiongoza Yanga
Wanatakiwa wafungiwe mechi za kimaifa hadi watakapi prove beyond doubt kwamba wana uwezo kushindana kimataifa na hawataendelea kulitia taifa aibu itungwe kanuni ya dharura
Hahahaha, Mh. rais wangu wa tff 4G si ndio network ya mwendo kasi??? hahahahaha, mimi naona hilo litawafaa kuliko kuitwa sijui ndala, mara yeboyebo. Hilo lina leta heshima angalau!Jamal Malinzi naye kumbe anatambua timu yangu kwa jina lingine inatwa 4G. Iliwahi kupigwa 4 na Azam, Alger's, Simba (5G) n.k
View attachment 497422
Aise unajua ni risk kusafiri mbali bila pesa ya dharura! nimejifunza. Imagine, kisha uombe msaada wa kulala kwa mwarabu?? hatari wa hatari!Naye huyu na yanga yake bwana haiguswi naskia wamewakopesha hela ili wale jamaa waliopotea waje nchini
Utamtoaje?? si mpaka amalize muda wake?Tena hata hivyo ni mpaka wale wajumbe wa mikoani wawe hawamuelewi>Alishindwa nini kununua marefa wa nje ili isiitwa 4G? Ndiyo matatizo ya kuingiza siasa michezoni.Simba wameitwa matopeni,wamchangani na mikia,lakini alinyamaza.Huyu ni kiongozi wa maslahi yanga ndani TFF. Kama kiongozi wawote hakupaswa kunyamaza kutukanwa simba. Bila kumtoa huyu tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.
Wamemtumia bashite imeshindikanaSimba ubingwa kwenye njozi mpaka Manji atoke kuiongoza Yanga
Mikia mechi zoote kanda ya ziwa wameshinda mechi moja tena kwa hila sanaWanatakiwa wafungiwe mechi za kimaifa hadi watakapi prove beyond doubt kwamba wana uwezo kushindana kimataifa na hawataendelea kulitia taifa aibu itungwe kanuni ya dharura
Hahahaha mkuu si walisema simba wanashindia mihogo pale kariakoo ila wametia huruma sana daaaaa mpira wa tanzaniaAise unajua ni risk kusafiri mbali bila pesa ya dharura! nimejifunza. Imagine, kisha uombe msaada wa kulala kwa mwarabu?? hatari wa hatari!
Sema waarabu wana mchezo mchafu sana waangalie wasije wakatatuliwa marinda bureKwani ubingwa wa Yanga unawasaidia nini zaidi ya kutia aibu taifa!? Mmeshapata nauli kurudi toka Algiers? Wachezaji wasije kuingia kwenye biashara za ajabuajabu