Jamali Malinzi alaani kitendo cha Yanga kuitwa 4G (four G)

Jamali Malinzi alaani kitendo cha Yanga kuitwa 4G (four G)

Simba ubingwa kwenye njozi mpaka Manji atoke kuiongoza Yanga
Mkuu unataka mikia wajinyonge
7ceae76bb77cf0233b51a138dd7fe125.jpg
 
Wanatakiwa wafungiwe mechi za kimaifa hadi watakapi prove beyond doubt kwamba wana uwezo kushindana kimataifa na hawataendelea kulitia taifa aibu itungwe kanuni ya dharura
0f893c493f6401d06c978cc39b0fa390.jpg
 
Hata mi naunga mkono, kwa spidi ya yanga hawastahili kuitwa 4G, ni bora waitwe 2G square
 
ni mnafiki tu kwanin hakushangaa taifa stars kufungwa 7? halafu asitafute huruma ya wanayanga kwan mchezo wake mchafu anaoucheza dhid ya yanga wakuiathiri kamwe hatoshinda na yanga itabeba ubingwa kwa mara ya 3 mfululizo na hatimae kumiliki kombe poor jamal mandizi yanga forever andaeni noti mkanunue kombe jipya pumbaaf
 
Alishindwa nini kununua marefa wa nje ili isiitwa 4G? Ndiyo matatizo ya kuingiza siasa michezoni.Simba wameitwa matopeni,wamchangani na mikia,lakini alinyamaza.Huyu ni kiongozi wa maslahi yanga ndani TFF. Kama kiongozi wawote hakupaswa kunyamaza kutukanwa simba. Bila kumtoa huyu tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.
 
Hivi ni vitu cheap mno wala visimpotezee mda, raha ya shabiki ni timu yake kushinda au timu pinzani kufungwa. Kwahiyo awaache waongee tu.
 
Jamal Malinzi naye kumbe anatambua timu yangu kwa jina lingine inatwa 4G. Iliwahi kupigwa 4 na Azam, Alger's, Simba (5G) n.k
View attachment 497422
Hahahaha, Mh. rais wangu wa tff 4G si ndio network ya mwendo kasi??? hahahahaha, mimi naona hilo litawafaa kuliko kuitwa sijui ndala, mara yeboyebo. Hilo lina leta heshima angalau!
 
Naye huyu na yanga yake bwana haiguswi naskia wamewakopesha hela ili wale jamaa waliopotea waje nchini
Aise unajua ni risk kusafiri mbali bila pesa ya dharura! nimejifunza. Imagine, kisha uombe msaada wa kulala kwa mwarabu?? hatari wa hatari!
 
Alishindwa nini kununua marefa wa nje ili isiitwa 4G? Ndiyo matatizo ya kuingiza siasa michezoni.Simba wameitwa matopeni,wamchangani na mikia,lakini alinyamaza.Huyu ni kiongozi wa maslahi yanga ndani TFF. Kama kiongozi wawote hakupaswa kunyamaza kutukanwa simba. Bila kumtoa huyu tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.
Utamtoaje?? si mpaka amalize muda wake?Tena hata hivyo ni mpaka wale wajumbe wa mikoani wawe hawamuelewi>
 
Wanatakiwa wafungiwe mechi za kimaifa hadi watakapi prove beyond doubt kwamba wana uwezo kushindana kimataifa na hawataendelea kulitia taifa aibu itungwe kanuni ya dharura
Mikia mechi zoote kanda ya ziwa wameshinda mechi moja tena kwa hila sana
 
Aise unajua ni risk kusafiri mbali bila pesa ya dharura! nimejifunza. Imagine, kisha uombe msaada wa kulala kwa mwarabu?? hatari wa hatari!
Hahahaha mkuu si walisema simba wanashindia mihogo pale kariakoo ila wametia huruma sana daaaaa mpira wa tanzania
 
Hyu naye maku tuu ata hajielew ss wat kila sku kfungwa tu
 
Kwani ubingwa wa Yanga unawasaidia nini zaidi ya kutia aibu taifa!? Mmeshapata nauli kurudi toka Algiers? Wachezaji wasije kuingia kwenye biashara za ajabuajabu
Sema waarabu wana mchezo mchafu sana waangalie wasije wakatatuliwa marinda bure
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom