Jamali Malinzi Angalia Picha Mapokezi Ya Aubameyang Ujifunze

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860




Malinzi hujamtendea haki Samata kabisa.Tukio hili linaweza lisijirudie maishani mwake tena.Mwampamba Iddris,Simba n.k walipokelewa kwa heshma.Kwanini Samata mmemfanyia uhuni huu.TFF ipo kwa ajili ya nini?
 
mimi nimesema kwenye uzi flani hivi ila watu wanavyocomment wanasema eti ajilinde mwenyewe,mara ni mkongo,sasa sijui hata kwanini tz kila kitu chema tumepitwa
 
Malinzi ni jipu ambalo halijapata mtumbuaji. Hv Ni nani ukanda wote huu wa Africa Mashariki aliwahi kutwaa tuzo hii? Nadhan binafsi roho mbaya zetu ukichanganya na wivu umesababisha hili. Magufuli baada ya bomoa bomoa tafadhali bomoa na TFF
 
Kama kuna wapuuzi Tanzania au sekta yenye wapuuzi wengi ni Malinzi au Tff. Na nashangaa Clouds media wameamua kumfanyia sherehe kuna watu wameponda tena wakati Serikali imeshindwa ku value mafanikio yake. Poor Tanzania tukikosa tunalia tukipata hatuthamini.

Duc in Altum
 
..watu mnapenda kulia lia sana;kitu kidogo mnapiga mikelele wiki nzima, kwani hawezi kuandaliwa hafla/sherehe ya kumpongeza siku nyingine?!au iliandikwa mahali ilikua lazima iwe jana usiku? hebu punguzeni midomo kidogo,very boring!
 
Mkuu Kibo10 hayo ndio Mataifa yanayoheshimu, kujali na kuthamini juhudi za raia wao wanaoliletea sifa na heshima Taifa.
Naona hiyo ndege ina nembo ya Rais jambo ambalo litaongeza hamasa kwa wanamichezo wengine kufanya juhudi wapate heshima kama hiyo.
 
No, TFF walitakiwa kuandaa mapokezi ya Mbwana Samatta kwa kushirikiana na ofisi ya Waziri wa Michezo Mhe. Nape! Kwa wenzetu ili ni tukio kubwa sana na ni wakati wa kujitangaza kimataifa. Hata TV zetu zinaweza kutengeneza clip hata ya dk 1 kwa ajili ya kumtangaza huyu kijana, narudia tena hili ni tukio kubwa lililotakiwa kutangazwa na kuandikwa na media houses zetu.
 
Ni kweli abomoe ili tufungiwe tujipange upyaa, sio yeye tu hata huyo waziri mwenye dhamana ya michezo angefanya kitu coz amesikia kilio cha wanamichezo sio na yeye atie pamba masikioni, Hongera sana Samatta.
 

Malinzi anaumia mchezaj kutoka samba kutwaa tuzo
 
Malinzi ana uzi wake aliuanzisha, ameukimbia baada ya kushindwa kujibu maswali yenye akili. Tatizo mtu akipata mafanikio watanzania wanaponda. Sasa umeanza ushindani uso maana, Samata anafananishwa na Diamond kuwa vijana bora hapa nchini.

Kwa bahati mbaya kuna kundi fulani likaamua kuja na hoja ya hovyo kuwa Samata si lolote kwa Ajibu. Kisa tu katajwa mtu wasiyempenda na kupewa heshima na Samata.
 
Ajibu na Samatta, what a shame, unalinganisha mlima na kichuguu! Mbwana Samatta ni mchezaji mahiri kuliko wote tangu kuanzishwa kwa nchi za Africa mashariki! Bravo Mbwana Samatta.
 
humu kuna watu wakisema ikulu sio kwa ajili ya wacheza mpira, majinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…