Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kibo10 hayo ndio Mataifa yanayoheshimu, kujali na kuthamini juhudi za raia wao wanaoliletea sifa na heshima Taifa.
Naona hiyo ndege ina nembo ya Rais jambo ambalo litaongeza hamasa kwa wanamichezo wengine kufanya juhudi wapate heshima kama hiyo.
Ajibu na Samatta, what a shame, unalinganisha mlima na kichuguu! Mbwana Samatta ni mchezaji mahiri kuliko wote tangu kuanzishwa kwa nchi za Africa mashariki! Bravo Mbwana Samatta.Malinzi ana uzi wake aliuanzisha, ameukimbia baada ya kushindwa kujibu maswali yenye akili. Tatizo mtu akipata mafanikio watanzania wanaponda. Sasa umeanza ushindani uso maana, Samata anafananishwa na Diamond kuwa vijana bora hapa nchini.
Kwa bahati mbaya kuna kundi fulani likaamua kuja na hoja ya hovyo kuwa Samata si lolote kwa Ajibu. Kisa tu katajwa mtu wasiyempenda na kupewa heshima na Samata.