Jamali Malinzi, kwanin alibadilisha jezi ya taifa stars?

Jamali Malinzi, kwanin alibadilisha jezi ya taifa stars?

Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
3,063
Reaction score
2,985
Nilikuwa na bado naendlea kuamini kuwa jamali malinzi na michael Richard wambura ni watu wasiopaswa kabisa kuusogelea uongozi wa mpira wa miguu! sababu hawa ni sumu ya mpira . asante karia kwa kumuondoa huyu shetani wambura.
najiuliza kwann malinzi alibadilisha jesy za timu y taifa?
 
Nashangaa hiyo rangi nyeupe iliingizwaje pale wakati rangi bendera ya taifa inajulikana
 
Jezi za Taifa Stars nazo zinazidi kufanyiwa majaribio kama ilivyo mpira.

Bora tungetumia kijani au Njano, hii rangi ya Blue ni wazi haivutii kabisa.
 
Alizibadirisha ili aweze kupata chumba kodi ys kulipia chumba cha kupanga pale keko gereza la mahabusu
 
Tuache hizo dhana, Kijani na Njano ni jezi bora sana.

Japo ni Msimbazi ila kulingana na Bendera yetu Kijani inafaa sana.

1539785025069.png
 
Ila kweli hii jezi ya Blue imefifia nuru yake....bora hata tungekuwa na ngozi nyeupe ingependeza....tatizo hapo ni mentality ya sisi wabongo, nakuhakikishia jezi ya taifa ikiwa kijani au njano basi kuna kundi la watu litaisusia Timu ya Taifa kwa Fikra za Usimba na Uyanga...nadhani ndio maana hata wabunifu wa hii jezi ya taifa hawajataka kuiweka rangi ya Kijani au Njano maana ingehusishwa na Uyanga
Mkuu mimi ni mpenzi wa Simba ila napenda tutumie rangi ya Kijana iliyowiva sana jezi zitakuwa nzuri sana.

Mfano: (Jezi ya Cameron)
 
Ila kweli hii jezi ya Blue imefifia nuru yake....bora hata tungekuwa na ngozi nyeupe ingependeza....tatizo hapo ni mentality ya sisi wabongo, nakuhakikishia jezi ya taifa ikiwa kijani au njano basi kuna kundi la watu litaisusia Timu ya Taifa kwa Fikra za Usimba na Uyanga...nadhani ndio maana hata wabunifu wa hii jezi ya taifa hawajataka kuiweka rangi ya Kijani au Njano maana ingehusishwa na Uyanga
Ngoja tukomae na hizi za blue na tulivyo weusi.
 
Back
Top Bottom