Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,985
Nashangaa hiyo rangi nyeupe iliingizwaje pale wakati rangi bendera ya taifa inajulikana
Jezi za Taifa Stars nazo zinazidi kufanyiwa majaribio kama ilivyo mpira.
Bora tungetumia kijani au Njano, hii rangi ya Blue ni wazi haivutii kabisa.
Blue na wachezaji wetu asilimia 80 ni weusi kama nguvu za giza hazileti mvuto.Ile blue ya enzi za Maximo ilikuwa nzuri.!
Blue na wachezaji wetu asilimia 80 ni weusi kama nguvu za giza hazileti mvuto.
Bora kijani kilichokolea.
Hahahaaah kijani Yanga
Nitaacha kuishabikia stars maana hizo ni rangi za ccmTuache hizo dhana, Kijani na Njano ni jezi bora sana.
Japo ni Msimbazi ila kulingana na Bendera yetu Kijani inafaa sana.
Nitaacha kuishabikia stars maana hizo ni rangi za ccm
Mkuu hapo unataka Wanamsimbazi wasiichezee Taifa stars labda!!Jezi za Taifa Stars nazo zinazidi kufanyiwa majaribio kama ilivyo mpira.
Bora tungetumia kijani au Njano, hii rangi ya Blue ni wazi haivutii kabisa.
Tuache hizo dhana, Kijani na Njano ni jezi bora sana.
Japo ni Msimbazi ila kulingana na Bendera yetu Kijani inafaa sana.
Mkuu mimi ni mpenzi wa Simba ila napenda tutumie rangi ya Kijana iliyowiva sana jezi zitakuwa nzuri sana.Mkuu hapo unataka Wanamsimbazi wasiichezee Taifa stars labda!!
Mkuu mimi ni mpenzi wa Simba ila napenda tutumie rangi ya Kijana iliyowiva sana jezi zitakuwa nzuri sana.
Mfano: (Jezi ya Cameron)
Ngoja tukomae na hizi za blue na tulivyo weusi.Ila kweli hii jezi ya Blue imefifia nuru yake....bora hata tungekuwa na ngozi nyeupe ingependeza....tatizo hapo ni mentality ya sisi wabongo, nakuhakikishia jezi ya taifa ikiwa kijani au njano basi kuna kundi la watu litaisusia Timu ya Taifa kwa Fikra za Usimba na Uyanga...nadhani ndio maana hata wabunifu wa hii jezi ya taifa hawajataka kuiweka rangi ya Kijani au Njano maana ingehusishwa na Uyanga
Mkuu mimi ni mpenzi wa Simba ila napenda tutumie rangi ya Kijana iliyowiva sana jezi zitakuwa nzuri sana.
Mfano: (Jezi ya Cameron)
πππNgoja tukomae na hizi za blue na tulivyo weusi.