Jamali Malinzi, pakuajiri unateua na pakuteua unaajiri

Jamali Malinzi, pakuajiri unateua na pakuteua unaajiri

Mimi nadhani KIZUGUTO ni mtu sahihi pale TFF tatizo mnadhani kitengo cha habari cha TFF kinahitaji mtu mwenye uwezo pekee wa kuandika habari au kuwa mtangazaji mnasahau kuwa TFF ina website na mtu wa habari ukipata ambaye pia ni mtaalamu kwenye tekinohama unakuwa umepiga ndege wawili kwa jiwe moja, huyu Kizuguto kafanya vizuri sana pale Yanga hasa kwenye ishu ya WEBSITE maana website yao ilikuwa updated kuliko website ya Club yoyote Tanzania na ukitaka kuamini hilo ingia website ya Yanga leo update ya mwisho ni siku chache kabra ya kizuguto hajaondoka Yanga huyo aliyeingia sasa hivi (Jerry Muro) kutwa kuongea kwenye press conference website zero, hivyo nadhani TFF wameliona hili ukizingatia na wao Website yao ipo hoi bin taabani lakini ukiacha hilo huyu kizuguto nimekuwa nikimsikiliza amejipambanua kama msemaji anayeongea kwa weledi si kuropoka kama wasemaje wengine.

Kwa hiyo wamemuajiri kwa ajili ya website, mimi najua website ni ya watu wa IT sasa kama yeye anafanya vyote ina maana TFF hawana IT
 
frema120 ni lugha tu labda haikukaa sawa,bila shaka jambo liko wazi kuwa members wa sekretariet ya TFF ni employees.
Btw wajumbe wa CC ndio kina nani hao?

Na vip la Kizuguto lini ajira mlitangaza na mlishindanisha nani na nani, asante.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo wamemuajiri kwa ajili ya website, mimi najua website ni ya watu wa IT sasa kama yeye anafanya vyote ina maana TFF hawana IT

Tatizo umekalili halafu hujanielewa unakimbilia kunijibu soma vizuri comment yangu kaka nimeisema ICT kama added advantage lakini pia ni mweledi kwenye uandishi kwa taarifa yako Kizuguto alikuwa anawasaidia hadi Timu zingine alipokuwa Yanga kwenye kupata leseni za wachezaji wa kimataifa kupitia mtandao huyu mtu ni sahihi nadhani wengi wenu mlitaka mtu wa habari mropokaji kama Masau bwire au kanjanja kama Mohamoud Zubeiry.
 
Sikuwahi kuamini kuwa Malinzi ni Kiongozi mzuri na niliwadharau sana mliopokuwa mnamtukana Tenga.
 
Huyu mtu nibure kabisa.
I dn't ecpect all this from Malinzi.
Media are the one tobe blamed.
Walimpigania sana hyu jamaaa
 
Jamaa kashajiona kama rais wa nchi
Naona mamboyawakubwa unaleta huku!!!Nafikiri tufike wakati tumpe muda amekutavitukovingi alipoingia tff ngumu aanze Kurekebisha kilakitu kwa maramoja tuwe wavumilivu akinamimba inayoingia sikumoja ikazaliwa Sikh inyofwata nahisi mtakuwa mmelewa gv him tym
 
Back
Top Bottom