Jamalife Helpers Global (JHG) ni shirika linalotambulika kisheria?

Philemon38

Member
Joined
May 30, 2018
Posts
74
Reaction score
31
Wakuu katika pita pita zangu mitandaon nimekutana na hili shirika la Hawa watu wanaoitwa Jamalife helpers global(JHG), wamenipa maelezo yao na namna wanavyofanya kazi , kikubwa wao wanahitaji pesa TSh16K(16000) kwa ajili ya kujiunga na mfumo wao wa biashara,NAOMBA KIJULISHWA KWA YEYOTE ANAELIFAHAMU HILI SHIRIKA AU KWA YEYOTE ALIYEWAHI KUTANA NA HAWA WAHUSIKA ,JE NI SHIRIKA LINATAMBULIKA ? AU NI MATAPELI?
 
Life helper tena wanataka wewe ndio utoe pesa? Za kuambiwa jumlisha na zako
 
Life helper tena wanataka wewe ndio utoe pesa? Za kuambiwa jumlisha na zako
Of course hata mm nimeshawatilia mashaka,thats why nimeona Ni bora niombe ushaur kwa wana forum hapa
 
Mkuu ukiangalia business model ya JHG ni Pyramid.

Siwezi kusema kwamba ni matapeli, kwani juzi kazi kuna blog za Nigeria nimefuatilia na kuona kuna wanachama wamepewa zawadi za magari. Hyundai.

Jambo la kujua ni kwamba, utafanya kazi kubwa kwa kumfaidisha aliyepo juu yako.

Kama unaweza kujiunga na kutafuta watu wawili wenye kuchapa kazi, unaweza ukajaribu bahati yako.

What is 16K katika utafutaji????
 
Ok thanks for this mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…