Philemon38
Member
- May 30, 2018
- 74
- 31
Wakuu katika pita pita zangu mitandaon nimekutana na hili shirika la Hawa watu wanaoitwa Jamalife helpers global(JHG), wamenipa maelezo yao na namna wanavyofanya kazi , kikubwa wao wanahitaji pesa TSh16K(16000) kwa ajili ya kujiunga na mfumo wao wa biashara,NAOMBA KIJULISHWA KWA YEYOTE ANAELIFAHAMU HILI SHIRIKA AU KWA YEYOTE ALIYEWAHI KUTANA NA HAWA WAHUSIKA ,JE NI SHIRIKA LINATAMBULIKA ? AU NI MATAPELI?