DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Kuna chuo kinaitwa KAM COLLEGE OF HEALTH SCIENCE kinatoa clinical officer na medical laboratory cheti na diploma,wenyewe wanadai wamesajiriwa na NACTE hebu anayefaham anifumbue macho kweli kipo registered na Nacte?na kinatambulika na wizara ya afya?