Jaman hii miguu vipi?

Jaman hii miguu vipi?

2 pacha

Senior Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
136
Reaction score
44
Jamani ndugu zangu wanajamvi nilikuwa naombeni msaada wenu. mimi bwana nikivaa viatu hata kwa nusu saa nikivua huwa kunakuwa na harufu kali sana, sasa nashindwa kuelewa tatizo nini na ni vipi nitaweza kupona tatizo hili?
 
Back
Top Bottom