jaman kwa anayejua!

jaman kwa anayejua!

2 pacha

Senior Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
136
Reaction score
44
jamani naombeni msaada wenu kwa yoyote yule anayejua dawa ya kuongeza na kurefusha umme kwa kwa kutumia dawa ya asali. msaada tafadhar!
 
jamani hebu waulize watu wako wa karibu yawezekana na wenyewe walishawahi kufanya mambo ya kipuuzi kama haya
 
ulio nao una urefu kiasi gani? una miaka mingapi? una kilo ngapi? mwili wako una urefu kiasi gani?.
 
Back
Top Bottom