Jaman kweli Tanga raha!

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Posts
948
Reaction score
548
huku kwetu bwana aloo,mapenzi yalipo zaliwa ni soo,kuna goma likipigwa kiboko,mwari hakirudi harusini,harusini,
utakuta watu wakicheza sukuma mama sukuma,mwanangu sukuma,kidogo dogo sukuma,mwana mama sukuma,mwanakombo sukuma,mwajuma sukuma,kidogo dogo sukuma.
Tiriri mwajuma tiriri,tiriri mwanangu tiriri,tiriri mama tiriri.

sasa ilo goma ndio ulifungulie ukiwa chumbani na beib we hakika unampa hamasa kwelikweli hapo ndio utajua hilo ni goma la wapi? warning Do not try this at guest house!
Tahadhari 2; kama hauja kaza usijaribu unaweza ukakatika(dushe)
 
kila nikirudia rudia kusoma Naona chenga, labda watu wa TANGA waje watoe majibu ya Kina
 
Tanga nitakuja kuoa huko.

Naandaa mazingira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…