ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
karibu tanga mdogo wetuNawazooom tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu tanga mdogo wetuNawazooom tu..
usijal utajua tuUshamba wangu ni mzigo kwa kweli, hata hiyo siijui
Nimepamiss sana Raskazone, Msambweni, Chumbageni, Segera, Muheza, Lushoto, Korongwe....karibu tanga mdogo wetu
sawausijal utajua tu
Zidi tu kusisimkwa Mkuu sababu ndio ukweli huo. Yaani sie huwa hatuombi pesa bali mtu anajikuta anatoa kwa moyo wake mweupeeeee. Teh teh.Umenisisimua we dada jamaniiii
Naona naonameonaee kaka langu
tutakutembeza usijalNimepamiss sana Raskazone, Msambweni, Chumbageni, Segera, Muheza, Lushoto, Korongwe....
Aiseeh!Hii week end watu hamkupunguza uzito?? Nyuzi nyingi za vitombo tu!
Poahapo ndio mwisho usi zoom tena
Mie ndio nitakuwa likizo Mwifwa kwani umeelewaje mdogo wangu. Teh.Mmmmhhh
Baada ya.....???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aiseeeee.Aiseeh!
Hahahaa. Hayo hayawezi kukosekana mdogo wangu.mim nataka mapochopocho tu siwanijua mdogo wako kwa ude
Nimekuelewa vizuri sana Dada yangu, mimi muda huo inaweza kunikuta mkoania maana nina project huko kwa kipindi hiki cha lala salamaMie ndio nitakuwa likizo Mwifwa kwani umeelewaje mdogo wangu. Teh.
Hahah! kwani na wewe umeona?Aiseeeee.