hahha nimekuja dada
hahaha! haswaaa ndio yenyewe ila ya kidijitalTeh teh. Nimejikuta nacheka sio Baikoko kweli hiyo.
Afadhali umeongezea nguvu mana ningejibu mim peke yang angeniona muongo
Teh teh. Nimejikuta nacheka sio Baikoko kweli hiyo.
Ivi hizo ngoma ni kama zile za wapiga taarabu eehh??hahha nimekuja dada
Kumbe na yeye ni mtu wa tanga?Nasikia abdul nondo kaachiwa kwa dhamana ni kweli??
Naona watu wa Tanga tunarun JfTeh teh. Nimejikuta nacheka sio Baikoko kweli hiyo.
We senge kweli bila kapicha..huku kwetu bwana aloo,mapenzi yalipo zaliwa ni soo,kuna goma likipigwa kiboko,mwari hakirudi harusini,harusini,
utakuta watu wakicheza sukuma mama sukuma,mwanangu sukuma,kidogo dogo sukuma,mwana mama sukuma,mwanakombo sukuma,mwajuma sukuma,kidogo dogo sukuma.
Tiriri mwajuma tiriri,tiriri mwanangu tiriri,tiriri mama tiriri.
sasa ilo goma ndio ulifungulie ukiwa chumbani na beib we hakika unampa hamasa kwelikweli hapo ndio utajua hilo ni goma la wapi? warning Do not try this at guest house!
Tahadhari 2; kama hauja kaza usijaribu unaweza ukakatika(dushe)
hapo ndio mwisho usi zoom tenaNawazooom tu..
Njo ufungue zipu ya surualMtoa post ni Me au Ke?
ilo senge ni tusi au neno tuWe senge kweli bila kapicha..
hamn tofaut na baikokoIvi hizo ngoma ni kama zile za wapiga taarabu eehh??
Hahahaa. Umenikumbusha mbali sana Kaka.hahaha! haswaaa ndio yenyewe ila ya kidijital
Ushamba wangu ni mzigo kwa kweli, hata hiyo siijuihamn tofaut na baikoko
meonaee kaka languNaona watu wa Tanga tunarun Jf