Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Upo tanga?Hahaaaa. Sio kweli bana rafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo tanga?Hahaaaa. Sio kweli bana rafiki.
Mambo bebHahahaaa. Sio siri binamu unajua kujiongeza. Basi sawa nakuachia mgeni huyo akija uwe mwenyeji wake. Teh
Hahahaaaa. Hivyo nawewe utakwenda?Nitakuwakilisha mkuu,wewe nikutakie tu safari njema huko utakapokwenda.
Mmh. Jamaani we Mapipando.Sio majini tu mkuu,hata mashoga pia ndio nyumbani kwao kule.
Hahahaaa. Lol.tarataraaaa tarararaaaaa tarariraaaa hatanikisema[emoji445] wengine wataniponda sisemiii nao sisemi naoo mimi sisemi nao mashilawadu sisemi nao sisemi nao macho kuona najua hutoniamini chungulia utaona [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji108] [emoji108] [emoji108] mwanangu natirika waueeeeeeee
Hahahaaaaaa. Ukija kusahau ulipotoka mie simo.Walahi nami nitatafuta mpenzi kutoka tanga maana si kwa sifa nizisikiazo.
Hahahaaa. Binamu we karibu tu bwana.Nipe process nianze kuzifata
Hapana. Sipo Tanga.Upo tanga?
Hahahaa. Nimecheka sana hii salamu yako.Mambo beb
Nakuja pm huko ili tuanza kusogeleana karibu na mwishowe zero hadi negtive distanceHahahaa. Nimecheka sana hii salamu yako.
Mie sijambo kabisa bukheri wa afya.
Ha ha ha ha ha sio kweli kwenye nini sasa mkuu,kuvua nguo ama kugegedwa na mpiga ngoma?Hahaaaa. Sio kweli bana rafiki.
Kila la kheri huko kwa pm.Nakuja pm huko ili tuanza kusogeleana karibu na mwishowe zero hadi negtive distance
Nawaonaga,huku si unajua tena makabila mengi hadi wakurya wapo.Mmh. Jamaani we Mapipando.
Hata huko Dsm si pia wa aina hiyo wapo?
Hahaaa. Vyote vyote. Teh tehHa ha ha ha ha sio kweli kwenye nini sasa mkuu,kuvua nguo ama kugegedwa na mpiga ngoma?
Hahahaaaa.Nawaonaga,huku si unajua tena makabila mengi hadi wakurya wapo.
Unakuta jitu limekaa kikatili lakini shoga khaaa.
Hilo nalo neno mkuu.Hahahaaaaaa. Ukija kusahau ulipotoka mie simo.
Mh hii habari inajulikana sana unaanzaje kuikanusha mpendwa?Hahaaa. Vyote vyote. Teh teh
Hahahaaa. Basi wacha nikuamini.Mh hii habari inajulikana sana unaanzaje kuikanusha mpendwa?
Au ni kwa wazara.mo tu ipo hivyo?