Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
k'ill do thtSi utani......... nina uwezo wa ku-deal na watu ambao wanaingia kwenye mapenzi lakini hawawezi kutoka..naweza kukusaidia na usinilipe..............Ni PM
k'ill do tht
Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?
Hapo ingekuwa mimi naondoa majeshi yangu mapeeeemaaaaa, aka kutumiwa saa ya tukio tu nani anapenda
Si utani......... nina uwezo wa ku-deal na watu ambao wanaingia kwenye mapenzi lakini hawawezi kutoka..naweza kukusaidia na usinilipe..............Ni PM
eh xo wat¿kwani wewe ukimcall kuna shida gani?, inaonesha ata wewe unapende ku........tia....na sana......, ungekuwa upendi usingechanuwa -o- yako, jamaa akamimina mtindi original.
Si utani......... nina uwezo wa ku-deal na watu ambao wanaingia kwenye mapenzi lakini hawawezi kutoka..naweza kukusaidia na usinilipe..............Ni PM
Charminglady,unaibiwa huku. . !
Alaah kwa hiyo unalipiza kisasi..uajua anavyonipenda...ngoja nimwite...my sweet charminglady kuna mpika sumu huku

nini, shka adabu na adabu ikushike. . . ishia hapa hapa km umenchoka sema co kuanza kupm na huyo cjui nani!