M Mohamed kibwambwa Member Joined Apr 22, 2014 Posts 17 Reaction score 0 Jul 16, 2014 #1 Habari za asubuhi jf? Nawapenda sana kwani upendo ndo faraja pekee ktk maisha ya mwanadam. Jaman naomba mnijuze kama post za kilimo na mifugo kama zmetoka tafadhali jaman maana nmejaribu kuangalia kwenye link zao mambo hayajakaa vzuri.
Habari za asubuhi jf? Nawapenda sana kwani upendo ndo faraja pekee ktk maisha ya mwanadam. Jaman naomba mnijuze kama post za kilimo na mifugo kama zmetoka tafadhali jaman maana nmejaribu kuangalia kwenye link zao mambo hayajakaa vzuri.