Jaman Msaada plz kama kuna anaefaham kam post za kilimo au mifugo zmeshaachiwa?

Jaman Msaada plz kama kuna anaefaham kam post za kilimo au mifugo zmeshaachiwa?

Joined
Apr 22, 2014
Posts
17
Reaction score
0
Habari za asubuhi jf? Nawapenda sana kwani upendo ndo faraja pekee ktk maisha ya mwanadam. Jaman naomba mnijuze kama post za kilimo na mifugo kama zmetoka tafadhali jaman maana nmejaribu kuangalia kwenye link zao mambo hayajakaa vzuri.
 
Back
Top Bottom