jaman msaada wa join instr.ya bagamoyo secondary school

jaman msaada wa join instr.ya bagamoyo secondary school

ndio kioo cha nchi, na dsm na mikoa ya pwani, watoto wa viongozi na wakubwa, walimu si wakaida, full degree, masters na PhD, ni shule ya zamani sana, iko baharini, ukitokea bagamoyo mjini km4 1000 PIKIPIKI
 
naomben kwa anae ijua wavuti ya shule ya bagamoyo nahitaji kujua join instruction
 
As other gvmnt school haina webste xema 2 karbia ckul zte za mkoa wa pwan kasoro Ruvu girl huchlewexha sana joing inst
 
asante vp about sale za shule ni zipi

kipindi nasoma hapo tulikuwatuna vaa suruali za khaki sijui kwa sasa,nenda fb kuna group inaitwa bagamoyo high school,hapo unaweza pata msaada zaidi.shule ilikuwa nzuri sana ila kwa sasa sijui
 
Si uifate huko huko shule mkuu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom