Jaman nifanyaje?

Jaman nifanyaje?

kunku

Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
19
Reaction score
3
nina mpenz,.. nampenda sana ila yy anawivu kupita maelezo,.. nikifanya kidogo 2 anasema nina wanaume,.. alaf nikimwambia ukweli anadai ninamdharau,.. na kuniuliza kwan cjui yy ni mwanaume??? kwan hii hali ya ukandamizaj kwenye mapenz bdo ipo?
 
dawa yake ni kuacha kumpenda!......ahahahahaaaaaaaaaa...umenuna eee!
 
????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
uko laini laini sana kwake...badilika dada utakandamizwa kweli!
 
nina mpenz,.. nampenda sana ila yy anawivu kupita maelezo,.. nikifanya kidogo 2 anasema nina wanaume,.. alaf nikimwambia ukweli anadai ninamdharau,.. na kuniuliza kwan cjui yy ni mwanaume??? kwan hii hali ya ukandamizaj kwenye mapenz bdo ipo?
<br />
<br />
bibie we mpige chini utalia siku ya kwanza na ya pili halafu ya tatu unazoea sawa mama
mi mwenyewe na mpango wakumuacha wangu lakini yeye hana wivu
 
nina mpenz,.. nampenda sana ila yy anawivu kupita maelezo,.. nikifanya kidogo 2 anasema nina wanaume,.. alaf nikimwambia ukweli anadai ninamdharau,.. na kuniuliza kwan cjui yy ni mwanaume??? kwan hii hali ya ukandamizaj kwenye mapenz bdo ipo?

wivu katika mapenzi ni muhimu.....
 
Ndio yule yule anaekuita kwakwe mkapige show au una mwingine...
 
Ukifanya kidogo NINI?
Ukweli sio tatizo, inategemea unasemaje huo ukweil
 
Vumilia tu dada ndio maisha...... (waswhili)
 
naona kama stori ya kutunga manake haijakaa vema labda kwa vile ni mgeni.

Join Date : 2nd September 2011
Posts : 7

Rep Power : 0
 
Mpige chini tu wivu wake utakauka ,aliwazalo mjinga ndilo limpatalo
 
Mi nafkiri jamaa hakupendi kwa dhati kwani upendo wa kweli haupo kihvyo mi nafikiri huyo jamaa anakutamani na c anakupenda.jitahidi kumshirikisha mungu.
 
usimuage unaenda sehemu,, bas amesha conclude dat,.. hata ktk story za kawaida 2 lazma aingizie ma najua una wanaume,.. sasa what z dat?
 
Back
Top Bottom