Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
wanasema kwenye half cake lazima uweke baking soda ndio inayofanya yapasuke sasa kama hupendi itabidi upike maandazi tuSikuweka baking soda niliwek baking powder magad siyapend yanabadil rangi ya unga
wow! yummy yummy,Nilijipinda juzi kwa kufanya haya madubwasha. Ubechula kazi sana.View attachment 1077895
Hata baking powder hupasua mi niliwek baking powder tu lakin yalipasukana yakawa vipande vipande tuwanasema kwenye half cake lazima uweke baking soda ndio inayofanya yapasuke sasa kama hupendi itabidi upike maandazi tu
Yaani humu ndani mnafaranga wameyala yote hamnakusubiria chai wala nini.wow! yummy yummy,
uko vizuri sana hapo kwa chai ya tangawizi uwiii
Yaani humu ndani mnafaranga wameyala yote hamnakusubiria chai wala nini.
Nimejitahidi nimepata maelekezo kwa msaada WA Google Chrome.
Chapati ngumu bado nazipangia muda nazo. Zitanikoma mwaka huu na vileja na mahanjumati mengine in shaa Allah.
Amekuganda yamekushinda imebidi tu umwekee video haha my babe bwana
Nilijipinda juzi kwa kufanya haya madubwasha. Ubechula kazi sana.View attachment 1077895
Lol,na bado haijafua dafu maana za kwenye video hazijapasuka na yeye anataka za kupasuka, patamu hapo.Amekuganda yamekushinda imebidi tu umwekee video haha my babe bwana
Haha umepatikana,Lol,na bado haijafua dafu maana za kwenye video hazijapasuka na yeye anataka za kupasuka, patamu hapo.
Hi babe.
Half cake nimepik unga ulikuw mgumu tu ila zilivyoanza tu kuvimba jikoni zimepasukana ovyo ovyo hamn ilotoka nzima naomba msada tafadhali anaejua kupika half cake nimekosea wap au baking powder niliweka nying mana nilimiminia tu mkonon kwa kukadilia na kutia kweny unga
Kiwango na na idadi hutegemea mtu mwemyewe.Unatengenezaje bwana bechula
Bechula hahaaaaa.Unatengenezaje bwana bechula
Haha wewe ndio umesemaBechula hahaaaaa.
Ubechula na bechula hakuna tofauti?[emoji56][emoji48][emoji38][emoji23]Haha wewe ndio umesema
Vinaitwaje nikaongeze maarifa YouTubeKiwango na na idadi hutegemea mtu mwemyewe.
Mahitaji:
Nilifanyanya Unga kilo 3.5.
Tuwi lá nazi.
Há mira yachenga vijiko 5.
Baking powder vijiko 3.
Hiliki iliyochambuliwa nakusagwa niliweka kijiko kimoja.
Mafuta ya kula yaliyopashwa moto nusu kikombe.
Maziwa ya unga niliweka nusu kikombe.
Sukari nilikisia.
Mayai manne.
Chumvi kijiko kimoja.
Kwanza niliweka Unga ndani ya besia nikaweka mafuta ya kula, nikauchanganya kid go badae nikaweka hamira, baking powder nikauchanganya badae nikaweka yalibakia na mwisho nikaweka tui.
Nikaponda kama dakika 30 hivi kwa vile nimpiga vyuma nikaona wepesi tu kuponda[emoji23] na ulipondeka vizuri tu nikauwacha kama dakika 10 hivi baada ya kuuponda zen nikaukata nakuweka kwemye masufuria mpka ulipoumuka nikaanza kuchoma.
Hahaaaaa yalikuwa matamu.
Kila mmoja hutegemea aongeze nini na apunguze nini.
Kwani tofauti?[emoji23][emoji23]Ubechula na bechula hakuna tofauti?[emoji56][emoji48][emoji38][emoji23]
Picha umeionajeWeka picha tuone ulikosea wapi ili tujue tuendelezee wapi
Vipi?Vinaitwaje nikaongeze maarifa YouTube