Kiwango na na idadi hutegemea mtu mwemyewe.
Mahitaji:
Nilifanyanya Unga kilo 3.5.
Tuwi lá nazi.
Há mira yachenga vijiko 5.
Baking powder vijiko 3.
Hiliki iliyochambuliwa nakusagwa niliweka kijiko kimoja.
Mafuta ya kula yaliyopashwa moto nusu kikombe.
Maziwa ya unga niliweka nusu kikombe.
Sukari nilikisia.
Mayai manne.
Chumvi kijiko kimoja.
Kwanza niliweka Unga ndani ya besia nikaweka mafuta ya kula, nikauchanganya kid go badae nikaweka hamira, baking powder nikauchanganya badae nikaweka yalibakia na mwisho nikaweka tui.
Nikaponda kama dakika 30 hivi kwa vile nimpiga vyuma nikaona wepesi tu kuponda[emoji23] na ulipondeka vizuri tu nikauwacha kama dakika 10 hivi baada ya kuuponda zen nikaukata nakuweka kwemye masufuria mpka ulipoumuka nikaanza kuchoma.
Hahaaaaa yalikuwa matamu.
Kila mmoja hutegemea aongeze nini na apunguze nini.