Jaman nimepika half cake leo

Jaman nimepika half cake leo

Passed

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
561
Reaction score
160
Half cake nimepik unga ulikuw mgumu tu ila zilivyoanza tu kuvimba jikoni zimepasukana ovyo ovyo hamn ilotoka nzima naomba msada tafadhali anaejua kupika half cake nimekosea wap au baking powder niliweka nying mana nilimiminia tu mkonon kwa kukadilia na kutia kweny unga
 
Ety ukikanda sana unga unaharibu sa nisipokanda sana sura inakuw mbay ya cake
Sijawahi kuzipika hizo lakini hua naona hawakandi sana yes, ni rahisi kuliko maadazi.
pia unatakiwa uhakikishe unga unavyokanda usiwe mgumu sana na usiwe mwepesi.
 
Sijawahi kuzipika hizo lakini hua naona hawakandi sana yes, ni rahisi kuliko maadazi.
pia unatakiwa uhakikishe unga unavyokanda usiwe mgumu sana na usiwe mwepesi.
Niliugeuza kias kwamba unga ulikuw unaonekan nikaanza kukat
 
Cake haikuw na sura ikajiachia ilipoanza kuiva vipande vipande
Nadhani ishu yako ipo kwenye kukanda, hukuukanda ukakandika pia hakua mgumu wenye kushikana, jaribu tena kwa vipimo sahihi halafu ukande sana uwe mgumu.
 
Nadhani ishu yako ipo kwenye kukanda, hukuukanda ukakandika pia hakua mgumu wenye kushikana, jaribu tena kwa vipimo sahihi halafu ukande sana uwe mgumu.
Si umesema unga wa keki akandw sana kwaiyo nikawa naogop kuukanda coz nilimbiw unga wake haukandw kama maandaz
 
Si umesema unga wa keki akandw sana kwaiyo nikawa naogop kuukanda coz nilimbiw unga wake haukandw kama maandaz
Kuna mtu aliniambia unaugeuza geuza tu alaf unakat ila tu uwe mgum
 
Muangalie hapo Dada Aroma anavyopika,
kwanza uliweka baking soda kweli??
Vifaa.
Screenshot_2019-04-22-07-23-10-1.jpeg
 
Hiyo sijui Kungumanga,
Yai,
Unga wa tangawizi,
Maziwa,
sio lazima sana unaweza kua na alegy navyo,
unaweza ukatumia Vanilla kama unapenda (binafsi sipendi Vanilla) kwahiyo unga wa hiliki ungenitosha,
Badala ya maziwa ningeweka tui la nazi sababu sipendi maziwa,
yai nisingeweka sababu siagi tu ingenitosha.

Haya goodluck kwenye utengenezaji tena wa Half Cake, usisahau mrejesho.
 
Back
Top Bottom