jaman nna tatzo la tumbo kujaa gesi sana mwaka wa pili

jaman nna tatzo la tumbo kujaa gesi sana mwaka wa pili

nlienda hosp wakaniambia nnao maambukiz ya h. paylor nikapewa heligo kit lakin hakuna mafanikio yyte
Baada ya heligo kit unatakiwaa uendelee na omeprazole kwa at least wiki mbili.. otherwise dose bado haijakamilika effectively
 
halafu alugel ndo natumia sana aise ndo inanisaidia kidogo ila nikila wal au nyama au vtu vya vwandan kama soda hvi ndo shda kabisa yan
Indigestion ndo tatizo lako.chakula kinashindwa kusagwa vizuri labda una shida ktk galbladder.ila nakushauri usitumie preserved food au soda zina madhara zaidi ya sigara na pombe
 
Dah pole ila mimi nilipewa hpylori kit, au triple therapy saivi namshukuru Mungu naendelea vizuri,ila ni gharama sana
ok. umeniambiaulipewa hyo ni gharama labda ni kias gan?
 
jitahidi kula sana nyanya chungu,vitunguu swaum na tangawizi itakuwa poa cna huku ukipunguza vyakula vya gas nyingi
 
elfu tisin ni kubwa lakin kwenye swala la afya ni ndgo sana hapa nmeshapoteza zaid ya milion kwa hawa tiba asil bila mafanikio aise inavyonisumbua yan iyo ni kesi ndgo sana ndgu.
 
habar. jaman naomba kuuliza mm nasumbuliwa na tumbo kujaa ges sana ambapo nilipima nkaambiwa nnao maambukiz ya bacteria h.pylor shida ni kuwa napenda sana pombe ila sa hvi siwez mana nkionja tu tumbo linajaa sana naomba mnisaidie labda ni bia gan nikinywa haitakuwa na shida mana yan najisikia upweke sana kuacha pombe .
 
sikiliza saga vitunguu swaumu kumi yaani akikisha kijiko kinajaa kikumbwa kunywa asubuhi na maji vuguvugu kabla hata ya kuswaki tumia kwa muda wa siku saba .
 
habar. jaman naomba kuuliza mm nasumbuliwa na tumbo kujaa ges sana ambapo nilipima nkaambiwa nnao maambukiz ya bacteria h.pylor shida ni kuwa napenda sana pombe ila sa hvi siwez mana nkionja tu tumbo linajaa sana naomba mnisaidie labda ni bia gan nikinywa haitakuwa na shida mana yan najisikia upweke sana kuacha pombe .
halafu usile njegere
 
Mkuu jaribu kuzalisha umeme kutokana na hali ilivyo sasa utapiga sana hela si unajua tunaelekea kwenye uchumi wa viwanda
 
kama hujawah kupata haya majanga utaona ni masihara ilayakikukuta ndo utajua
 
Back
Top Bottom