Baada ya heligo kit unatakiwaa uendelee na omeprazole kwa at least wiki mbili.. otherwise dose bado haijakamilika effectivelynlienda hosp wakaniambia nnao maambukiz ya h. paylor nikapewa heligo kit lakin hakuna mafanikio yyte
Indigestion ndo tatizo lako.chakula kinashindwa kusagwa vizuri labda una shida ktk galbladder.ila nakushauri usitumie preserved food au soda zina madhara zaidi ya sigara na pombehalafu alugel ndo natumia sana aise ndo inanisaidia kidogo ila nikila wal au nyama au vtu vya vwandan kama soda hvi ndo shda kabisa yan
ok. umeniambiaulipewa hyo ni gharama labda ni kias gan?Dah pole ila mimi nilipewa hpylori kit, au triple therapy saivi namshukuru Mungu naendelea vizuri,ila ni gharama sana
Ilikuwa kama tisini elfuok. umeniambiaulipewa hyo ni gharama labda ni kias gan?
sikiliza saga vitunguu swaumu kumi yaani akikisha kijiko kinajaa kikumbwa kunywa asubuhi na maji vuguvugu kabla hata ya kuswaki tumia kwa muda wa siku saba .habar. jaman naomba kuuliza mm nasumbuliwa na tumbo kujaa ges sana ambapo nilipima nkaambiwa nnao maambukiz ya bacteria h.pylor shida ni kuwa napenda sana pombe ila sa hvi siwez mana nkionja tu tumbo linajaa sana naomba mnisaidie labda ni bia gan nikinywa haitakuwa na shida mana yan najisikia upweke sana kuacha pombe .
halafu usile njegerehabar. jaman naomba kuuliza mm nasumbuliwa na tumbo kujaa ges sana ambapo nilipima nkaambiwa nnao maambukiz ya bacteria h.pylor shida ni kuwa napenda sana pombe ila sa hvi siwez mana nkionja tu tumbo linajaa sana naomba mnisaidie labda ni bia gan nikinywa haitakuwa na shida mana yan najisikia upweke sana kuacha pombe .
NASHUKURU KWA USHAURIsikiliza saga vitunguu swaumu kumi yaani akikisha kijiko kinajaa kikumbwa kunywa asubuhi na maji vuguvugu kabla hata ya kuswaki tumia kwa muda wa siku saba .
Au mimba changa?nlienda hosp wakaniambia nnao maambukiz ya h. paylor nikapewa heligo kit lakin hakuna mafanikio yyte
Vip tenaNahisi kitu kwako, nipm
vitunguu swaumu umekunywa asubuhi?kama hujawah kupata haya majanga utaona ni masihara ilayakikukuta ndo utajua